Search results

  1. Du Bois ideas

    Idadi ya Wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano

    Greater Thinkers! Noamba wahusika Idadi ya wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi huu ili tujue sura ya Bunge letu lijalo 1. CCM wamepata wabunge wangapi? 2. CHADEMA wabunge wangapi? 3. CUF wabunge wangapi na 4. ACT wabunge wangapi?
  2. Du Bois ideas

    Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Kwa kuweka vizuri kuhusu uzi uliotelewa wa saidi Nkumba kurudi CCM ni kwamba, UKAWA hawajapoteza kwani baada ya maandamano kumpinga, mshindi wa kwanza wa kura za maoni alirudishwa na ndo anayegombea kwa tiket ya CHADEMA.
  3. Du Bois ideas

    Rais Kikwete aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Jumapili

    Nasikia Mzee 6 naye anataka Urais? Mambo!!!
  4. Du Bois ideas

    CHADEMA tumeona tumeridhika, ACT-Tanzania itakuwa lini?

    Kada wa CCM Nafikiri CCM inademokrasia ya rushwa kuliko chama chochote Africa. Maana hata ukitoa rushwa hukamatwi ila kwa demokrasia ya kweli hapi unanipaka uji mdomoni. Vipi kuhusu vyama vya siasa nchini Ghana, na penyewe CCM ya kwanza. Acha uongo kada wangu, kuwa mkweli. Mimi ni mbumbu wa...
  5. Du Bois ideas

    Hivi itakuwaje Zitto akishinda kesi yake?

    Wana JF:, Naomba ushauri wa kitaalam au Kisheria kuhusu Zitto. Kwakuwa leo katika chama cha CDM ndo mwisho wa uongozi wa awamu ya IV, na kuanzakwa awamu ya V ya Uongozi ndani ya chama hiki na zitto alikuwa mahakamanikupinga kuvuliwa uanachama na nafasi alizokuwa nazo Chamani, Jemahakama ikisema...
  6. Du Bois ideas

    CHADEMA tumeona tumeridhika, ACT-Tanzania itakuwa lini?

    Ngd: Wana Jamvi, Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni: KUSEMA KWELI CHADEMAIMEKOMAA, INAKUWA, NA INAPENDWA NA WATANZANIA HATA IKIPEWA NCHI WANAENDESHABILA WASIWASI. Kwa muda nimekuwa kimya nikifuatilia kwa ukaribu sanaChaguzi mbali mbali ndani ya chama cha Chadema, nimekuja kungudua kwamba...
  7. Du Bois ideas

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    I like the move, uongozi ni kipaji
  8. Du Bois ideas

    Toa Maoni: Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa ni September 2014. Nani unataka atuongoze?

    M/kiti - Mhe. Mbowe Katibu - Dr. Slaa Naibu katibu mkuu --????
  9. Du Bois ideas

    Joyce Banda safari imemuwadia. MAMBO KUMI YANAYOSHANGAZA

    Nimeupenda sana Uchambuzi huu. Inaonekana Zambia na Malawi ni nchi ndugu sana na huko nyuma yawezekana ilikuwa nchi moja. Hata Mungu wao ni mmoja ndo maana anayoyafanya Zambia ndo anayoyafanya Malawi. Bora wale je sisi Tanzania tunafanana historia na nchi gani?
  10. Du Bois ideas

    Revealed: Lissu "hajawahi" shinda kesi mahakamani!

    Wewe ndo umeleta mada. Hebu tukumbushe kesi ambazo Lissu amewahi kupelekewa wakati akiwa katika taaluma ya uwakili na hakushinda, tuanzie hapo halafu nami nitakushushia zangu. Toa ushaidi wako kwanza kwa kutaja kesi yenyewe, ilikuwa kati ya nani na nani na mawakili wake kishi tuone lissu kweli...
  11. Du Bois ideas

    CCM wametueleza kwanini serikali mbili, Upinzani wanadai tatu bila maelezo ya faida zake .....

    Unamatatizo ya akili, nafikiri uko kiushabiki zaidi. Hayo yote yanayoelezwa na tume pamoja na wapinzani wewe huelewi tu au kisa wewe ni mwana CCM? Kama hutaki kuelewa usingepost. Ipo siku mtalia!!!
  12. Du Bois ideas

    Serikali inatambua haya yanayotokea makanisa mapya?

    Serikali kazi yake kusimamia maadili katika nchi kulingana na tamaduni zake. Hili katika nchi yetu wala haina haja ya serikali kuingilia kati kwani ndoa zinavunjika kila kunapokucha. Kama unaona imani hii inakuboa usiende na kataza familia yako kutokwenda wanaotaka kwenda na waende. Naomba...
  13. Du Bois ideas

    CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    Hivi ACT nayo ni nini? Hata siku moja ZZk hawezi kuwa kiongozi wa chama, hana nasaba hiyo, kama anafikiri anaweza aanzishe lakini baada ya muda mfupi wanachama wa CDM watakaokuwa wamefuata upepo watarudi. Nakiona CDM kina nguzo imara. Chama ni nguzo sijaona nguzo za ACT hata moja. Hata Zitto...
  14. Du Bois ideas

    NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

    Hivi kumbe na wewe ni Muha? Nina mashaka na post hii!!!???
  15. Du Bois ideas

    Kwa mara ya kwanza, NAPE aongea kwa hekima Zanzibar!!

    Napenda sana angeenda na Arusha akasema hayo hayo
  16. Du Bois ideas

    Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

    Hongera CDM kwa hilo. Taasisi yote inayotaka kuwa imara ni lazima iimarishe vyombo vyake vinayohusika na Usalama. Kwa CDM naamini vyombo vyenu vya Usala viko juu hapa Tanzania kuliko chama chochote cha siasa. Hongereeni saana mpaka tunawatamani kwa yale mnayoyafanya.
  17. Du Bois ideas

    Which of the two names sounds better,Tanganyika or Tanzania bara?

    Acheni kutuchanganya sisi tunataka Tanganyika. Big up Warioba na tume yote. Mmeuwa tembo kwa buwa. Na Bendera yetu irudi ya Tanganyika period!
  18. Du Bois ideas

    Taasis yoyote haibomolewi na watu walio nje bali ndani yake - Tayari Chadema Washindi wa vita

    Mara zote ukitaka kuharibu taasisi yoyote lazima uwe ndani yake ujue kila kitu kinachoendelea. Kwa kuwa sasa Zitto hana cheo chochote ndani ya chama na kwa kuwa hashiriki vikao vyovyote vya chama yapata miezi mitatu sasa. Na kwakuwa naamini washirika wake wote anao wategemea (masalia)...
Back
Top Bottom