Search results

  1. T

    Bharti Airtel

    Hello my friends! Would someone kindly assist me with airtel tz headquarters general lines. I need to get in-touch with someone there and the numbers i've got is just the customer care numbers which I cant get through with from here in Nairobi. The numbers I need ni za land-line etc...
  2. T

    Biashara ya Nyumba za Mkopo(Mortagage) Vs Nyumba za Kupanga

    Kwenye masuala ya mortgage, unaweza ukalipa downpayment ya nyumba kubwa ambayo huwezi kuilipia kodi cos it's expensive lakini uipangishe at the prevailing market value yake. Hiyo kodi italipa mortgage na ikubakishie fedha ambazo utalipia kodi nyumba unamoishi and after the period mmekubaliana na...
  3. T

    Nimepewa namba ya simu na Demu

    Mpigie na yeye mwenyewe atakueleza sababu zake zakukupa namba yake.
  4. T

    School Laboratory Equipments And Chemicals

    Hi Members! I'd be interested to supply schools, especially secondary schools with lab equipments and chemicals that students use in their chemistry lessons. anyone interested especially teachers and headteachers could contact me at tonywamae@gmail.com. Regards.
  5. T

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Ukiweza kupata uyoga wa hali ya juu unaokubalika, hapa Nairobi soko ni la uhakika kwenye mahoteli makubwa makubwa. Kunao wakulima wakubwa huku wa uyoga but for export purposes only, kwa hivyo local market haijatoshelezwa. Ni kilimo kizuri sana lakini ni lazima uwe muangalifu sana kwenye...
  6. T

    Dili, wabongo changamkieni

    Ukitaka kuwekeza huko, ni lazima uwe na mwenyeji kama director wa kampuni inayo wekeza na huyo mwenyeji anapata 40% of the profits yet yeye haja ngaramia huo uwekezaji. It's very unfair lakini hamna vinginevyo. Alafu wakati mwingine atataka ku-run hiyo biashara na ukikataa, unanyanganywa...
  7. T

    Waisraeli wameanza kupata hofu juu ya kuondolewa kwa Hosni Mubarak..KWANINI?

    Wa-Israeli wana hofu kwa sababu wanaelewa Mubarak akiondoka, waislamu wenye itikadi kali kama hao muslim brotherhood wanaweza wakachukua serikali ya Misri na security headache ya Israel itaongezeka sababu Misri ni immediate neighbour wao na sasa hao brotherhood wataungana na hizbollah in Lebanon...
  8. T

    Isuzu bighon & Nissan X-trail

    Naamini kati ya haya magari mawili, Nissan X-Trail ndiyo iko mbele. Kwa magari kama haya, kama unao uwezo wa kununua one of them, suala la mafuta haliji sana kwani uwezo unao wa ku-fuel. Suala liko kwa upatikanaji wa spares na durability wa gari lenyewe which I believe X-Trail iko mbele.
  9. T

    Commercial Rabbit Breeding

    Hi guys. It's a pleasure to be a member of this group. Just wanted to know, is there any member of Jamii forum ama any member wa hii forum anafahamu mtu yeyote anaye fuga rabbits on a commercial scale? Je, nyama ya rabbit inapatikana wapi? Is it available in supermarkets, butcheries etc? Do...
  10. T

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Maana ya VVT-i ni Variable Valve Timing with Intelligence.
Back
Top Bottom