Search results

  1. M

    Mwenye digrii za Marketing kibao anashindwaje kujua exchange rate kwenye interview ya exporting company inayohitaji Export marketing director?

    Miaka michache (chini ya 5) iliyopita, nilikua nahitaji kijana msomi na makini mno ili asimamie biashara yangu mpya. Niliwafanyia interview graduates 32 na sikupata mtu. Mama yangu akaniambia tafuta chuo chochote Dar, ulizia mwalimu wao wa biashara, mwambie nature ya biashara yako, muombe akupe...
  2. M

    Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

    Nikikupatia mtu wangu wa karibu wa kukupa hio pesa, malipo yatakuaje? Nikimaanisha unategemea kuirudisha ndani ya muda gani? Hats kama in Kwame mafungu, haye mafungu yatakuaje? Mie in ke na nimeolewa na na sihitaji chochote kutoka kwako zaidi ya kukusaidia, na malipo yawe fedha taslimu na si...
  3. M

    Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

    Hereni nzuri na gari la kijerumani ( in that order)
  4. M

    Katika Matajiri wetu 10 wa juu Tanzania, hakuna aliyesoma Chuo Kikuu ndani ya nchi! Uchumi wetu unategemea elimu za nje, kwanini?

    Nina mengi ya kuchangia ila muda si rafiki mno kwangu leo hii. Nina mzazi alisoma udsm na akaenda nje kwa ajili ya masters, hio ilikua kama miaka 40 iliyopita. Alivyorudi kutoka masters, alikaa miaka 2 ndani ya shirika lililomsomesha nje, akabadilisha vitu vingi ndani ya shirika hilo na baadae...
  5. M

    Najua nakosea, Ila mapenzi yamenizidi nguvu..!!

    Issue yako sio ngeni wala sio ngumu kihiivyo. Ni kwamba tu wote wawili hamjaamua kua wote kijumla jumla. Mkiamua kua wote kutoka moyoni, hio issue itakua nyepesi tu
  6. M

    Najua nakosea, Ila mapenzi yamenizidi nguvu..!!

    Mie nashauri ukae chini uongee na huyo mdada taratibu na kwa umakini, ili muweze kujua Hatma ya mahusiano yenu. Hapo hamna limbwata, ni watu wawili waliopendana kwa dhati huku mmoja akiwa mke wa mtu, na mwingine ni single. Hua inatokea ila cha muhimu wote wawili lazima mkubaliane jinsi ya...
  7. M

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sidhani kama mtu anayeishi na wazazi wake anaweza letA wanawake tofauti tofauti hApo home.. Hii sijawahi ona wala kusikia. Mie naona nyumbani wanakoishi wazazi wako ni Muhimu kuPaheshimu. Kijana unayemzungumzia hapa Ni kijana asijielewa, na hawa wapo hata huko mitaani walipopanga.
  8. M

    Nilisilize we binti na uweke akilini mwako haya

    Maneno mazuri na yenye hekima
  9. M

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    KaKa zangu walisoma nje, walisoma na kufanya kazi hUko kwa muda mrefu, walivyorudi walikaa nyumbani, wakaanza biashara, wakanunua viwanja, wakajenga nyumba zao na kuboresha biashara zao, walivyooa walihamia kwenye nyumba zao walizojenga wakiwa wanaishi 'nyumbani'. WaliVyokua wanadate wachumba...
  10. M

    Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

    Mleta mada, huyo jamaa yako hakukutapeli, kuna yaliyomsibu, akashindwa kukwambia.. Trust me, ukipata nafasi ya kuongea nae taratibu, ataweza kukujuza, ila huyo sio tapeli
  11. M

    Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

    Miaka 5 unalalamika kuhusu mume wako, na bado hujapata suluhisho. Mzazi mwenzaKo katangulia mbele za haki, Hii inamaanisha wewe ndio kila kitu kwa mwanao, meaning inabidi uwe na kipato kinachoeleweka ili mwanao asome na kupata maHitaji yake Muhimu. Sasa hata kumuhudumia mwanao huwezi, ukijua...
  12. M

    Swali kwa dada zangu wa JF

    Yaani kwa kweli huu uzi umenikumbusha kisa kimoja Kilinitokea zamani mno, nilikua chuo enzi hizo. Nikitulia nitakisimulia hapa ila ni maMbo haya haya..Dah, nilishasahau
  13. M

    Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

    Hio Kauli Haina ukweli wowote huo. Sio kila mwanamke mwenye mafanikio katumia kikojoleo chake kupata mafanikio.. It's a bullshit analysis
  14. M

    Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata

    Weka vithibitisho, mie nitasaidia kiasi.
  15. M

    Madaktari bingwa toka India kuzuru nchini

    mgonjwa wangu alishapelekwa nje. Nyumbani ilikua in mchezo wa kuguess tu tatizo lake tukaona bora aondoke. Alienda hospitals zaidi ya 9 including Muhimbili na wote ilikua guesswork tu. Tunashukuru Mungu anaendelea vizuri.
Back
Top Bottom