Search results

  1. Daudi Paul

    PICHA: Fahamu historia na madhara makubwa ya kula mchele wa plastiki toka China

    How comes kitu cha plastic kinapikwa na hakiyeyuki, na hao wadudu wanaishi vipi kwenye huo mchele, wataalam hebu tufafanulieni juu ya suala hili, binafsi lina nitatiza sana
  2. Daudi Paul

    Nimekopesha warembo 4 nimegawanya mil 2,800,000 wananizungusha mwaka sasa Naombeni msaada wazee

    Wanaume wangapi walikuomba, ukwawapa na hawajakurudishia
  3. Daudi Paul

    Mwakyembe atinga hadi maskani kwa nahodha wa Serengeti Boys na kushangazwa

    Yaani nchi hiii, Nahodha wa timu kaumia akiwa analitafutia Taifa sifa, hakuna mtu wa Tff anayejali maendeleo yake, very sad
  4. Daudi Paul

    Kabla Bunge halijapitisha, Mwigulu aamuru polisi kuachia magari iliyoshikilia

    Hii kodi itakuwa kubwa kuliko tunavyo fikiri, mafuta ndio factor inayotoa muelekeo wa kila kitu, yakipanda hakuna kitu kitasalia, so hapa maumivu kama kawa
  5. Daudi Paul

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Daaa ni siku ya nne toka nimefika hapa Mtwara mjini, kumekuwa na tabia ya kukatika kwa umeme kila ifikapo saa 12 au saa moja jioni, kurudi 4 au 5 uck. Tanesco hebu litazameni hili jambo
  6. Daudi Paul

    Nimejitoa rasmi kwenye mijadala ya siasa mitandaoni

    Hili ndio jibu la msingi[emoji115] [emoji115] [emoji115]
  7. Daudi Paul

    UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

    Sasa mwanamke makalio laini na dume pia nononono Lazima kuwe na tofauti ya dume na jike
  8. Daudi Paul

    Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

    Kuna mtu siku ikipita hajamtaja Lowassa, anapata tabu kweli, He was a great man to me anyway. Watch you tongue with that name.
  9. Daudi Paul

    Nape alichukia siku alipovuliwa ukatibu uenezi wa CCM

    Angeshika vyeo vingapi! !
  10. Daudi Paul

    Siku bwana akiniinua, wanawake walionikataa 'watalia na kusaga meno'!

    Fikiria namna utakavyo endesha maisha yako. Acha kufikiria ujinga
  11. Daudi Paul

    Mliosema Rais kaandaliwa maswali mnajisikiaje?

    Eti two weeks aniniiii!!!!!!
  12. Daudi Paul

    Ripoti ya mkataba wa Lugumi, Polisi yafika kwa Ndugai

    Dili kama hizi watu wa buku 7, kimyaaa, utafikiri sio ufisadi, wanavyomsakama Lowassa sasa, Kama ni haki bc Lowassa na hawa wakina Lugumi wachukuliwe hatua, na sio kumuandama Lowassa pekee,
  13. Daudi Paul

    Ukitaka mafanikio, acha kuahirisha mambo

    Hivi ndio vitu napenda kukutana navyo humu jamvini, hongera mkuu kwa mada nzuri.
  14. Daudi Paul

    Sioni dalili za Edward Lowassa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA na UKAWA 2020

    Hujapata ukurugenzi bado? Au ndio unafukuzia ule wa Bagamoyo, jadili issue ya Kinondoni, hujafika mtoni unataka kuvuka, 2020 ni miaka mitatu ijayo mbona unaharaka na issue za chadema. Una nini wewe mtu! !!!!!!!
  15. Daudi Paul

    Nampenda sana lakini ana mke

    Ulipotongozwa hujaomba ushauri, ulifanya maamuzi na serikali ya kichwa chako, fanya tena maamuzi.
  16. Daudi Paul

    Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

    Atajua tuuu, msibeze sana, kingereza chenyewe kimekuja na meli. Wolper atamfundisha
Back
Top Bottom