Search results

  1. K

    Ndugai bize na simu huku akiongoza bunge, ajabu kweli!

    Anapewa miongozo na wadosi kupinga kujadiliwa kwa issue kama mgomo wa wa walimu.....majina ya mafisadi wabunge kutotajwa bungeni ndani ya kipindi cha bajeti,....kusupress oposition n.k Baada ya Jembe Sitta kutolewa kwenye kiti, maspika wa wakati huu wanapelekwa pelekwa
  2. K

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Subiri sakata la rushwa kamati ya nishati na madini liishe.....
  3. K

    Mgomo wa walimu:CHADEMA inahusika?

    Uhuru unakaribia..si kitambo sana. Tatizo watu wengi wameshindwa kusoma alama za nyakati. Na mgomo wa wakulima kanda ya ziwa unakuja. Si mnasema CHADEMA wanahusika? Haya, yetu macho...
  4. K

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Z. Kabwe, bado bado..
  5. K

    msaada,loan officer inteview

    Una record ya kutenda kosa la jinai? Utaulizwa ilo.
  6. K

    msaada,loan officer inteview

    attributes/soft skills
  7. K

    United Nations Vacancies

    Kazi hii waliisha itangaza, nadhani kama miez 2 imepita. Wamerudia.
  8. K

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    Nimependa maneno ya Sokwe wa Town, mara nyingi matendo yetu (hata katika uandishi) yaweza kupeleka ujumbe kwa wasomaji.
Back
Top Bottom