Search results

  1. SAUTI YA ZEGE

    Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

    Hapana haifai hata kidogo kujaribu kuoana,kwa kuwa unatambua ukweli kuhusu kifo cha marehemu baba yako sio muhimu sana kumwambia,achana naye na pia huwezi tambua hasira ambayo iko kwenye nafsi ya ndugu zako na jamaa zako na hata siku ukiweka wazi kuhusu kuoana naye hawatakubaliana na wewe,kama...
  2. SAUTI YA ZEGE

    Kurudisha 25% ya mkopo HESLB

    Mmh!,unatupa wasiwasi kama kweli hii nayo inahitaji kupewa elimu,asilimia 25 ya kiasi ulichopewa inakutatiza.
  3. SAUTI YA ZEGE

    Mchepuko unaolewa

    Maamuzi ya busara,lakini haina mantiki kupotezea mawasiliano ilhali hukumuacha kwa ugomvi.Bakini kuwa marafiki sasa kwa kubadilishana mawazo.
  4. SAUTI YA ZEGE

    Mchepuko unaolewa

    Kaka ni maamuzi sahihi kufanya hivo,na umefanya maamuzi ya busara.Kupotezea mawasiliano yake sio vyema,mnaweza baki kama marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo.
  5. SAUTI YA ZEGE

    Tume ya jaji Warioba kuunguruma tena tarehe 2 Novemba, Blue Pearl

    Ni kituo gani kitarusha na muda gani?.
  6. SAUTI YA ZEGE

    Mapenzi ya siku hizi hata hayana raha

    Uuh!,mimi napita tu na hayo mapenzi ya zamani ndo yakoje,ndo maana ya utandawazi na wakati tuliopo sasa,kwani kila jambo na wakati wake kwani hata wa sasa watakuja sema kuwa bora enzi zetu.Kila jambo lina wakati wake.Naomba kuwasilisha.
  7. SAUTI YA ZEGE

    Kama Mungu atanijibu ombi hili sitaoa mapema

    Yes! Utakuwa sahihi kutokana na mtazmo wako lakini kusubiri utasubiri hadi lini,umri unakwenda no baadaye.
  8. SAUTI YA ZEGE

    Ni kweli alama za ufaulu kwa private candidates zinakuwa juu?

    Kaka unaweza tupia email yako ili tuweze kuwacliana kwa ushauri.
  9. SAUTI YA ZEGE

    Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

    Ahsante kwa taarifa.
  10. SAUTI YA ZEGE

    Mipasho ya wabunge ni kuishiwa hoja au mbinu ya kisiasa?

    Bunge la sasa linakera tena sana na halina ladha kuangalia wala kusikiliza,wabunge wengi wengi wa CCM wamekuwa ni mipasho tu kuliko kuchangia hoja.Wanashindwa kuelewa nini upinzani na mpinzani ni nani,kinachoniudhi ni pale anaposimama mbunge kabla ya yote na kusema kuwa anaunga bajeti kwa...
  11. SAUTI YA ZEGE

    Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

    Kilichoniudhi na sikuipenda ni pale alipoingia na wajumbe walisimama na wakiimba wimbo wa "Tanzania",alikuwa akitafunatafuna ,haipendezi hasa kwa mtu mzima na hasa kwa nafasi yake kufanya hivo,wimbo wa Taifa na wa kuisifia nchi yetu ni nyimbo ambazo zinahitaji kuonesha na kutabasamu na kusimama...
  12. SAUTI YA ZEGE

    Aliyosema tundu lissu.

    Nimekumbuka kile alichosema Tundu Lissu pale mjengoni kuwa wakuu wa wilaya na mikoa ni wanasiasa na hivo hawapaswi kuingia kwenye kamati za maadili ya mahakama zetu,nakubaliana na hili kwa dhati kwa sbb ya kile kinachoonekana sasa kwa Nape,ameshindwa kujitambua kuwa yeye ni DC na kubakia kwenye...
  13. SAUTI YA ZEGE

    Mukama amponda Dr. Slaa Asema ni mchanga katika Duru za Siasa, Chadema ni hodari kusema Uongo

    Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Wilson Mukama!!,"anasema kuwa Dr.ni mchanga wa siasa,hivi kati yake na Slaa ni nani mchanga wa siasa?,mbona alikuwa hafahamiki kwenye ulingo wa siasa.Mfa maji haachi kutapatapa,anapayuka sana ni afadhali ya Makamba.
Back
Top Bottom