Search results

  1. C

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Ndugu yangu mwana mpotevu, kumbuka ile report ya mwakyembe juu ya sakata la richmond alikwambia kuna mambo mengine hawakuweza kusema kwa heshima ya nchi ina maana kuna mambo ambayo yalifanywa na mkuu wa nchi, ambapo kwa nchi kama ya kwetu huwezi kumuwajibisha rais, ingeleta machafuko makubwa...
  2. C

    Watangazaji wa TV, hebu jaribuni kuwa na ushirikiano na watu wenu wa camera na sauti

    Kujamba sio kitu cha ajabu hata ikiwa hadharani, kwani ni sawa na kupumuwa tu kwa mdomo.
  3. C

    Edward Lowassa: The Commander in Chief ( in waiting....)

    Kwa mtu anayefuatilia siasa za bongo kwa makini atakubaliana na mtu asemaye EL ni kiongozi mzuri, na ukifuatilia sakata lililomchafua huyu mzee hata watu kumrushia madongo, lilikuwa la JK. japo mimi si mwanagamba lakini namfagilia sana EL. ndani ya wanagamba sioni mtu awezaye kupambana na...
  4. C

    Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    Wapendwa huyo ndugu cv yake ni nzuri ukilinganisha na wabunge wengine wa ccm kama akina Lusinde wa mtera, au ngonyani wa korogwe na wengine kwa kweli ni shida kubwa. tatizo lingine linaloletelea haya yote ni kwamba mkwanja unatumika sana kwenye chaguzi zetu na kufanya wenye fedha kuingia kwa...
  5. C

    Msaada wa ku unlock modern

    Adolph please naomba msaada wako zaidi kwenye hii. nimetafuta Post za nyuma sijaona web ya ku download hiyo 3g dashboard, na wakati nadownload nakuwa natumia vodafone (moderm yenyewe ninayo ichakachuwa au hata nikitumia local network?) nisaidie kwa kadri uwezavyo tafadhali.
  6. C

    Msaada wa ku unlock modern

    Wataalamu naombeni msaada wa ku unlock moderm za voda IMEI 353462041015129 S/N 321502361173 na Moderm nyingine ni IMEI 359592035174054 S/N 321202835738 Ahsante kwa msaada.
  7. C

    Ndege ya serikali yatumika kumpeleka mama wa kwanza shopping dubai...!

    Kwa hivi sasa kwakweli nchi yetu inahitaji sana maombi kwani hali hivi sasa amani katika nchi yetu haipo kabisa kama ipo inaelekea kutoweka, kwani Tanzania tumempa nini Mungu hata tuwe tofauti sana na nchi zingine ambazo wanawatoa marais wao na kupigana?
  8. C

    Ndege ya serikali yatumika kumpeleka mama wa kwanza shopping dubai...!

    Hizi habari zina ukweli kiasi gani? Au ndo hizi tuitazo chuki binafsi? kama ni za kweli basi tumekwisha!!!!!
  9. C

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Hii ni kali kweli kweli! ama kweli! hawa watu wamebadilika kabisa yaani sio wale tena ambao walikuwa wanaomba kura zetu wakiwa wameweka mikono nyuma na leo ni mabwana na ni mabosi wa wapiga kura wao. Kwakweli inashangaza kuona hawa watu wanaona kuwa hospitali za serikali hazifai na hawataki...
  10. C

    Hivi ni Kweli Wabunge Waislamu Bara ni 15 tu? Wazanzibar wanatuletea Udini Mbaya?

    Nawasihi wanajf tafadhali tusi encourage thread za kutaka kutugawa kama hii hapa, kama mtu hana jambo la msingi ambalo linaweza kudhihirisha kuwa real this is the home of great thinkers na kutujenga katika misingi ya maendeleo basi akae kimya awe msomaji tu. Namaanisha kwamba tusijadili udini...
  11. C

    Tanzania moja bei ya sukari toka Sh. 1,700 hadi 2,500

    Poleni sana wapendwa wetu wa `A` city, jana nilikuwa dodoma nao pia ni vivyo, sijui shida ni nini? wenzetu mnaojuwa sababu tupeni taarifa, nilikuwa najiuliza kwamba wakuu wa nchi wanajuwa hali hii? na wanasema nini?
  12. C

    Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

    Wanafamilia mwaweza kuanzisha kama mnaheshimiana na mkaheshimu maamuzi yenu na kuwa serious, kuna wana ukoo wengine hawaivi, hapo inakuwa ngumu kuwa na maelewano mkaendelea. Nanren umeuliza kama mwanachama ataka kujitoa; mara nyingi nimeona sehemu kama mwanachama anataka kujitoa mfano anahama...
  13. C

    Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

    Na riba wanaita ziada ya mkopo inakuwa ni 4% hadi 5%, na mwisho wa mwaka wanaangalia wana faida kiasi gani iliyotokana na ile riba/ziada ya mkopo.
  14. C

    Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

    Mkuu siyo kweli kwamba VIKOBA ni kwa ajili ya wanakijiji tu, hata watu wa mijini aidha wafanyabiashara au waajiriwa wanaweza kuanzisha kikundi chao na kuanza kuweka fedha na baada ya muda mfupi mkakopeshana kwa mfumo wa VIKOBA. Mfumo wake ni kwamba mnakuwa na kikundi cha watu 10 hadi 15 na...
  15. C

    Msafara wa First Lady waua mmoja Ruvu

    Na ule mwendo wa magari ya misafara ni ajali mbaya. Pole mama yetu, tunamshukuru Mungu kwamba umenusulika.
  16. C

    bei za nyumba na plots tanzania

    Ni kweli wapendwa kama walivyosema wanajamvi wengine tusipende kujazana na kusongamana maeneo ya masaki, oysterbay nk kwenye bei chafu, kuna maeneo nje ya mji ambako hakuna kunyang`anyana hewa, kuna rafika yangu ametangaza kuuza kiwanja chake kipo Tuangoma ukubwa wa kati kwa sh 7m, hadi sasa...
  17. C

    Mh.Rais Viongozi hawa wamefika muda wa kustaafu;

    Kwa kweli umefika pabaya taifa hili! kama hata km kiongozi anakula mlungula ni hatari sana
  18. C

    Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-MOROGORO

    Tafuta taarifa za kutosha utujuze tafadhali maana sisi wanajamvi wa Morogoro tungependa kujua ili kwamba tupate kujihudhurisha kwenye eneo la tukio.
  19. C

    Wahadhiri na wafanyakazi Udom warudi Chimwaga kwa Mkutano.

    Wanajamii mlioko UDOM naomba mtujuze kunani? Mtoto wa mkulima hakumaliza mambo yenu, nae kawafanyia uchakachuaji? Poleni sana.
  20. C

    Moderm unlocking naomba msaada tafadhali

    Modem yangu imenikatalia kufunguka siilewi inatatizo gani, naomba wataalam mnisaidie tafadhali, hii modem nimesha i unlock nimetumia sana tu kwa computer tofauti lakini kwa mtandao mmoja wa Airtel tu. IMEI yake ni 352965043912508 na S/N ni B55TAA1062205835. Natanguliza shukrani zangu za dhati...
Back
Top Bottom