Search results

  1. K

    Samsung series 5

    WanaJAMII nataka kununua TV sasa kuna mtu ameniambia ninunue SAMSUNG SERIES 5, 6 au 7 imeundwa na king`amuzi ndani yake (built in decorder). Sasa ile sehemu ya kuingiza SMARTCARD ile ADAPTOR inapatikana wapi?
  2. K

    Azsky g1

    Wakuu kuna mzigo huu (Azsky G1 upgrading version dstv dongle Azsky G1+) nimebaki na mmoja tu, maelezo mafupi ni kwamba Newest azsky G1+ dstv dongle in stock 1) sim card gprs dongle 2) open DSTV, MyTV, CanalSat Afrique, Al Jazeera Sport SS7Ni, SS5Ni, SS1, ChO, SS4, SS6, UniCh, NaGeo, AMag...
  3. K

    Lap top hp inauzwa!

    Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
  4. K

    Laptop inauzwa!

    Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
  5. K

    Chuo kizuri

    Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please wakuu mwenye full info anisaidie hapo
  6. K

    Adm sport

    Wanajamii, kuna mtu ameniletea receiver ya HUMAX kutoka kampuni ya ADMC Sport ambayo tayari imelipiwa mwaka mzima, lakini bado sijajua aina ya dish, satelite, frequency pamoja na direction Naomba msaada wenu kwa aliyefunga dish hizo!
  7. K

    Kulipia mwaka mzima!

    Wanajamii jana nilikuwa kwenye daladala nikawasikia jamaa wanazungumzia kwamba kuna dekoda zinatoka uarabuni zikiwa na malipo ya mwaka mzima, na dekoda yake inachannels nzuri sana hasa za soka na movies, kuna yeyote mwenye details zaidi kuhusu hiyo deal
  8. K

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Kaka kama mmevalishana pete usichoke! Nenda naye hivyo hivyo BUT for me kosa KUBWA ni USALITI! Kama hilo nalo huwa analitenda haina haja ya kumvumilia. Unajua anaweza akawa mwepesi sana kuomba msamaha lakini pia angalia na usalama wa maisha yako pia, hasa kwa makosa yanayoweza kusababisha...
  9. K

    Wanawake wa Kikenya

    Kaka 100% ya wakenya si wanaume wala wanawake ni selfish sana na wanajiona wapo juu yetu kwa kila kitu, achana naye anakitu anataka huyo kutoka kwako
  10. K

    Ting decoder packages

    Sijui tuseme nn jamani, kwa fans wa sports na movies, hakuna cha STAR TIMES wala TING! Kitu DSTV hawaskip match tatizo ni gharama tu, lkn nimesikia kuna deal ya dekoda kutoka UARABUNI kuna Channels za ukweli anayejua atupe dodoso kidogo
  11. K

    blackberry bold 9700

    ndugu zangu nikiwasha simu yangu inaonesha "jvm error 545" anayejua tatizo ni nn naomba msaada nifanye nini hapo!
  12. K

    Mwanajamii! Unaweza kunisaidia shida hii?

    Nnayo CD ya Software ya Adobe Photoshop CS3 lakini sasa tatizo nimepoteza key zake please kama unazo au unaweza kunielekeza namna ya kuweza kuzipata key naomba msaada, sababu hata niki-browrse cd sikuti key zake. naomba msaada jamani
  13. K

    Furahia uhondo wa Pride FM

    hahahaha hii kali jamani!
  14. K

    Dhl, tnt na ems ipi rahisi?

    Wazee habari za siku, nataka kununua iPad 2 kupitia online sasa mnanishauri nifanyeje ili niweze kuipata kwa gharama nafuu zaidi? anayejua gharama za kutumiwa via DHL, TNT au EMS tafadhali anifahamishe wakubwa nipo Dar essalaam wana jamii!
  15. K

    Habari njema kwa wale waliokuwa tumia g-tv

    jamaa hasomeki kabisa
  16. K

    Cry freedom

    Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx
  17. K

    Hodi humu ndani

    Wakigoma karibu ndugu!
  18. K

    Airtel Internet

    Dah wakuu hilo tatizo linasumbua mno yaani kufungua site kama Google ambayo mara zote inakuwa faster sana lakini sasa duuuuh balaaa, nadhani wenyewe pia wanajua tuwe na subira
  19. K

    Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

    Airtel nao wanataka kuwa kama tanesco wanavyokata umeme mchana kutwa muda ambao shughuli za ujenzi wa taifa zinapaswa kufanyika, ss hao nao kuanzia saa 5 usiku huo ni muda wa mtu kulala. Hawataki watu tutumie ila wanajifanya kutujali kama wanatujali si watuachie mchana kutwa!
  20. K

    Miss k wa JF!

    Miss k, karibu ktk jm kwa ufupi ni ukunbi wa kujadili mambo mbalimbali, lolote linalokusumbua utapata msaada mama welcome!
Back
Top Bottom