Nimekutana nao leo wanavizia watu wanaotoka Bank. Ujambazi wa mabenki unarudi sasa hivi (mtasikia tu). Na police wanawalea. Hii ni kwa Kova moja kwa moja.
Halafu hawana risiti za serikali (TRA mnalo) (janga jingine hili). Leo walinikuta vizuri, siku nyingine watasikia mlio wa bastola nikiona...
sasa mbona unewafagilia chandema tena!! Democrat si ndo walikua upinzani uchaguzi uliopita. Halafu wakaja na slogan ya change u can trust; wakashinda, na sasa bado wanawakandamiza kilichokua chama cha upizani rep.
Suala ni kuzuia magonjwa, sio kutibu tuuu. Mnataka daktari kila kijiji, nani kasema watanzania wote wagonjwa? Hili suala ni la mkakati. Nchi za wenzetu, jiji lenye wakazi milioni sita, hospitali ni moja, na wanaona wagonjwa wasiozidi 200 kwa mwezi. Unahitaji madaktari wangapi hapa? Tunainvest...
Kweli JK ni Dokta katika siasa, maana huu mchezo unaonyesha JK ni clever na madaktari ndo wasiofikiria. Kweli, public opinion sasa iko agaist the doctors, na hii itawaumiza siku zote. Nilisikia jana ITV mtu mmoja akisema maoni yanaonyesha wananchi wanataka kuanza kuwakata madokta mikono iwapo...
Usiende kazi au kufanya kazi na uone kama unalako nchi hii. Inakula kwako live! Kwanza madaktari wa sasa viazi sijawahi ona, bora usome kitabu ujitibu mwenyewe. Pia hospitali za binafsi kibao, tunatibiwa huko. Ningekuwa mimi waziri mkuu, kila hospitali inayogoma naifunga na kufuta ajira hapo...
kwa nini? fukuza tu, na tunaweka unique policy ya afya. madaktari mtaripoti kwa manesi, na manesi wataandika dawa. operation zenyewe zinawashinda, vichwa na miguu-wapi na wapi?
Manesi nao wamegoma? Sometimes Serikali inatakiwa kubadili Sera. Kuanzia sasa, Manesi ndo wawe wakuu wa hospitali na wataruhusiwa kutibu wagonjwa na kuandika dawa/prescribe. Hawa wanaisumbua tu serikali wakati hakuna la maana wanalofanya. Fukuza wote wakafanye kazi Botswana! Tujitahidi kuzuia...
Twende nuclear, acha woga, so far life expectancy tz ni 47. Wapeni warusi au wamarekani wamanage hizo plants kwa standard unazosema kwani nakubaliana nawe tanesco hawawezi, watakaomanage plant tuwalipe kwa umeme wanautupa, ili kwa makubaliane yanayoeleweka, siyo kama haya ya IPTL (WIZI MTUPU)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.