Search results

  1. A

    Babuuu huyoo Loliondo

    Wazo zuri lakini suala la imani ni la mtu binafsi,ili upone kwa babu sharti uamini kwamba utapona,JE UNAUHAKIKA KWAMBA HAO AMBAO SERIKALI ITAWAPELEKA KWA BABU KINYEMELA WATAKUWA NA IMANI KWAMBA WATAPONA?Huu si mchezo wa kubahatisha.
  2. A

    Mchungaji wa loliondo ametumwa na Mungu yupi?

    Sikupingi,naheshim uhuru wa kuongea na kutoa maoni yako,una haki ya msingi.Mkuu hebu tusubiri tuone au kusikia shuhuda za waliopona kutokana na dawa ya babu,hakuna marefu yaso ncha.
  3. A

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Kweli,lakini siachi
  4. A

    hizi ziko dukani good peoplez ......

    Huku ni kurudishana nyuma kimaendeleo,toto tamu namuna hii,akyanani nasimamisha ujenzi,michelle naomba contacts.
  5. A

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Mwachen atafute hela ya kula,maisha magumu.
  6. A

    Mibaba ya jf ina tabia mbaya

    Ukisema hujatongozwa siku nyingi na unatumia hili jamvi kujipromote,ntakuelewa,otherwise,utalipia kuitangaza hii biashara yako.
  7. A

    Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

    Khaa!halaf anatinga kwenye chorus huyu,kweli FUATA MANENO YANGU USIFUATE MATENDO YANGU.
  8. A

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Inauma sana,halafu hivi yale mashangingi ya muhula uliopita yamepelekwa wapi?hi nchi,hii nchi,hii nchi hiii,jamani watu wa mara tusaidieni kutengeneza bunduki tuwabomoe viuno hawa ccm.Inauma sana.
  9. A

    misemo ya vijana wa kileo bwana.,

    Silaha hela kisu mzigo . Kifo cha hela matumizi.
  10. A

    Namzimia mume wa jirani

    Kweli manungeyembe ndo yanaolewa.Nitamani na mimi basi.
  11. A

    Mzee wa Upako atoa amri mvua kunyesha nchini na imenyesha

    Miujiza gan ya kujinadi? Hilo ni zee la misifa, halafu wewe unayesema tumtumie, anza wewe,usishawish wanajamvi wamwabudu binadam wkt mungu yupo. Umetumwa nini mzee?sema kama we una hisa kweny sadaka anayokusanya.
  12. A

    msaada pls. Hapa itakuwa imeingia?

    Hongera Mwanangu,ndo ukubwa huo.You know what?katakuwa ka kiume.HONGERA mwanangu,hongera,na mimi hongere,hongera,Mama uchungux2 nyamala mwan.....
  13. A

    January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Bado,bado,tena bado sana.Hatuwezi kumuamini simply like this,mtoto wa nyoka ni nyoka,babaye(mropokaji)was frontline kuhakikisha mafisadi wanarudi bungen,au tumesahau jamani?ni kwel kabisa JM anatafuta huruma ya watz akubalike countrywide na hizi ni mbinu azitumiazo.JM anasaka umaarufu kwa udi...
  14. A

    Taarifa ya Msiba...!

    Bilashaka ni kipindi kigumu kwa familia ya Mr.FT.Poleni.
  15. A

    Maandamano makubwa yaanza Algeria leo

    YES,YES,YES.Kama baba zetu walimwondoa mkoloni hatutashindwa kwa mkwere.Tupaze sauti.PEOPLE'S VOICE,PEOPLE'S POWER.
  16. A

    Kupanda kwa bei ya bia

    Kweli zumbe,umenikumbusha wkt naskongeka tosa,nilikuwa nachapa kitu "ulanzi"ambacho kinabadilika jina kadiri siku zinavyoenda from the day ulipogemwa. Ule fresh wa day one unaitwa mtogwa,day2 mkangafu,day3 mdindifu n.k.changes ya majina is also attributed with alcohol %age increase that is known...
Back
Top Bottom