Search results

  1. G

    Kiwanja kizuri kinauzwa bei nzuri sana

    Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha, karibu na itakapokuwa stand ya mkoa baada ya kuhama kutoka ubungo kuja hapa mbezi ambayo imeanza kujengwa nipigie...
  2. G

    Kiwanja kizuri kinauzwa bei nzuri sana

    Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka Morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha pia karibu na sehemu inapojengwa Stand mpya ya mkoa itahamishwa kutoka ubungo kuja hapa Mbezi. nipigie simu no...
  3. G

    Nahitaji kununua noah

    Mimi ninayo, Rangi ni nyeusi, Engine ni cs ya mwaka 2000 nipigie simu no. 0754 568 593 au 0655 568 593
  4. G

    Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

    Mimi ni mtz je wewe ni wa wapi? Jitambulishe
  5. G

    Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

    Napenda kujua zaidi kuhusu haya mambo, kama una materials ningependa kupata zaidi
  6. G

    Magufuli aibua ufisadi wa Sh5 bilioni

    Hongera sana Dr. magufuli endelea hivyo hivyo, Watanzania tunawahitaji watu kama nyinyi
Back
Top Bottom