hao graduates tu hawana kazi, na kwa bahati mbaya likizo wanayoweza kutafuta hizo pesa unazowaambia watafute ni wiki tatu maana most of them likizo ndefu huwa wanakuwa field...
ha ha! Ndo mnavyodanganya watu, na wale mliowauwa kule jogoo house walikuwa kituo cha polisi eeh! Watu waliuwawa hata kabla ya kufika uwanjani eti kwa sababu ya intelijensia yenu ya kipuuzi au unafikiri tunaiamini video mliyopeleka vituo vya habari mh!. Tulikuwepo na tunajua ni namna gani damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.