Search results

  1. Kingcobra

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Miss Natafuta, hiyo picha kwenye profile imenikuna sana. Kama ni wewe, basi hongera sana.
  2. Kingcobra

    Polisi waua watatu "wanaodhaniwa' kuua askari Kibiti. Hii kuua watu kwa kudhani mpaka lini?

    Kuuwa jambazi au gaidi siyo jambo la kujivunia labda kama mazingira yalilazimisha. Jambo la kujivunia ni kumkamata jambazi au gaidi akiwa hai ili asaidie katika kuitambua network nzima inayoendesha huo ujambazi au ugaidi. Mimi siamini kama mtu mmoja yeye kama yeye akaamua tu kuwa jambazi au...
  3. Kingcobra

    Kifahamu kikosi hatari duniani cha u.S.A navy 'seal' tayari chatua rasmi rasi ya North Korea

    Katika Dunia ya sasa na ijayo tuache kabisa kushabikia vita. Mbele ya nuclear, hakuna atakayebaki salama as long as yupo kwenye sayari hii ya dunia.
  4. Kingcobra

    Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Hapana, kwanza sidhani kama umefikia kiwango hicho cha kumchukulia kila mtanzania ni ndugu. Wataalam watanisahihisha lakini nadhani kuna UNDUGU na UDUGU. Undugu is more touching. When you miss, you real miss him or her. Ni vigumu kukaa kimya. King Cobra
  5. Kingcobra

    Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Sawa, lakini si kwa kiwango cha kukaa kimya wanapotoweka watu miongoni mwetu. Wakati mwingine ni vizuri kufikiria kwamba ingekuwa wewe ndiye ndugu, mume, mke au mtoto wa aliyetoweka ungefanya hicho unachoshauri. Anayejua maumivu ya kiatu ni mvaaji. Ninamwomba Mungu awape hekima na utu viongozi...
  6. Kingcobra

    Anguko kubwa la uchumi: Shirika mama: Wafanyakazi zaidi ya 200 waomba kuacha kazi kisa mteule wa JPM

    Kwa nini kapu la majungu!! Litupwe kwenye kapu la takataka.
  7. Kingcobra

    Shy-Rose Bhanji aendelea kububujikwa machozi dhidi ya maamuzi ya Magufuli

    Kwa kifupi, Rais wetu Mhe. Magufuli hapendi watu wenye rekodi mbaya kiutendaji na mbaya zaidi ile inayotia aibu hata mbele ya umma. Kama ni kweli Mhe. Rais kafanya hivyo, ninamuunga mkono na ningemshauri huyo Dada atumie muda wake kujiuliza sababu iliyomfanya Mhe. Rais kufanya hivyo badala ya...
  8. Kingcobra

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Nadhani hoja ya MKURUGENZI WA BANDARI ni kwamba katika hayo makontena kuna mchanga na madini mbalimbali mojawapo ikiwa ni dhahabu. Sasa ukiondoa mchanga, kinachosalia asilimia 90 yake ni dhahabu. Mimi ndivyo nilivyomwelewa and this is very possible. Nchi hii kama anavyosema Mhe. Rais imeliwa...
  9. Kingcobra

    Brother Nape, kauli zako zimenihuzunisha sana

    Labda kwa kuongeza tu ni kwamba YEYE Nape alikitumikia chama kwa kiwango hicho kinachomtia uchungu kwa sababu kwa wakati huo, alikuwa ndiye Katibu Mwenezi wa Chama. Binafsi ninathamini sana mchango wake Nape Nnauye katika CCM lakini nami ninamshauri atulie. Apunguze au aache kabisa kuongelea...
  10. Kingcobra

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Sidhani kama Mhe. Rais hilo ndiyo lengo lake kwamba azuie kabisa mchanga kwenda nje. Ugomvi wa Mhe. Rais ni composition ya kilichomo kwenye huo mchanga. Inasemekana kuna kiwango kikubwa cha dhababu tofauti na inavyotakiwa kuwa. Hii maana yake ni kwamba kiwango kikubwa cha dhahabu inayopatikana...
  11. Kingcobra

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Mungu akubariki sana Ndg Mwigulu na kukulinda kwa hatua hii muhimu yenye mwelekeo wa kukomesha tabia mbaya iliyoanza kuota mizizi ya askari kutumia silaha za moto kila wanapokabiliana na raia wasio na silaha yoyote.
  12. Kingcobra

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Nina mambo mawili ya kuchangia: Kwanza, Mwandishi wa article hii ameitoa wapi "moral authority" ya kutoa mawazo yenye mwelekeo huu!! Nina uhakika akisoma maoni yangu haya, atatambua ninamaanisha nini. Pili, mbona kuna kigugumizi kikubwa cha Mhusika anayetetewa kuita waandishi wa habari na...
  13. Kingcobra

    Ni shujaa wa taifa! Kinyago uchonge mwenyewe halafu kinakutisha? Just do the needful!

    Prof. Kabudi aliapa kitambo pamoja na Bulembo. Tatizo ni kwamba Bunge halioneshwi LIVE. Watu wengi hawajui hilo.
  14. Kingcobra

    Mapya DAWASCO: Mzalendo aliyeibua wizi wa maji wa bil.2 atimuliwa kazi

    Kama una hoja za msingi kuhusu ufisadi wa huyu mtu kwa nini ujifiche humu jamvini? Kwa nini usichukue hatua madhubuti kwenda PCCB na kuwapatia vielelezo vya ufisadi unaoongelea. Vinginevyo, hapa unaonekana ni mlevi tu anayepita mtaani huku akiimba nyimbo au ni porojo za vijiwe vya kahawa.
  15. Kingcobra

    Madeni ya Taifa: Kuna Kitu Very Serious CAG Amekisema!. Hii kitu haiko sawa and it’s not Right. Je, tunakwenda wapi?!

    Pasco, bajeti ikiidhinishwa na Bunge kinachofuata ni utekelezaji. Haipelekwi kwa CAG kupata idhini. Ikumbukwe kuwa hata CAG mwenyewe bajeti yake inaaidhinishwa na Bunge baada ya kuwa scrutinized na Kamati husika ya Kudumu ya Bunge. Entry point ya CAG ni baada ya matumizi kufanyika yaani mwishoni...
  16. Kingcobra

    Mwanawake humwachia nuksi/mikosi au kismati kwa mwanaume aliyetoka naye

    Wewe sijui ni mpagani wa wapi!! Unaonaje ukijipeleka mwenyewe hospitalini ukapimwe akili? Labda nikuelimishe au kukumbusha hesabu hii ZINAA = DHAMBI = MIKOSI = BALAA = KIFO
  17. Kingcobra

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Mwanaume mzima unaandika lundo la maneno ya kutunga tu!!! Badala ya kufanya kazi ya maana ya kukuletea kipato halali unatumia muda kuandika stori za kitapeli ili wasomaji wakuombe hiyo program unayojifanya uliiweka kwenye simu ya mkeo!!! Acha ujinga na utapeli mwanaume mzima. Kama huna kazi...
  18. Kingcobra

    Rais wageni hawa ni wachafu wafukuze Ikulu

    Uandishi wa aina hii unatia hata kinyaa. Halafu mbaya zaidi eti ujumbe unaelekezwa kwa Mhe. Rais! Ptuuuuu, nimeshindwa kuendelea kusoma.
  19. Kingcobra

    Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Tunaacha kujadili mambo ya msingi tunajadili ofisi ya Mkuu wa Mkoa!! Ofisi ikiwa mbaya na chafu, kosa!! Ofisi ikiwa nzuri na safi, kosa!! Kweli unahitajika moyo wa mwendawazimu kumridhisha mswahili.
Back
Top Bottom