Search results

  1. A

    Mzombe Zanda Startv vipi ???

    sio mzombe,ni mkombe,kama unuvyojua ndugu vyombo binafsi watangazaji wanatangaza kwa matakwa ya wamiliki,wakati mwingine hata wao wanashindwa kwenda against na wamiliki,wahurunmie
  2. A

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Mkuu unapo-post issue hii jaribu kuwa na evidence za uhakika ,ninavyojua mimi vyuo vinavyotoa bachelor ya BBA viko vingi,tafuta ushahidi kama chetu alichowakilisha kinaonyesha ni cha UDSM,hapo tutakuwa tumejiridhisha.
  3. A

    My Opinion: Kati ya hawa watatu LAZIMA mmoja awe rais 2015

    Tunahitaji kiongozi ambaye ataweza kusema jambo na viongozi walio chini yake(w/mkuu na baraza zima la mawaziri)likatekeleza maelekezo bila wasiwasi na sio serikali yenye wasemaji lukuki,Dr Slaa anafaa,tumpe nafasi 2015.
  4. A

    Wenye Kuitaji Vitabu e-books

    mkuu nashukuru kwa hiyo hiyo post ya vitabu,je una vitabu vya social science na community development?
  5. A

    UvCCM wahaha kurudisha imani ya vijana kwa CCM

    mbna hawa UVCCM siwaelewi?ukiangalia vijana wa CCM UTAKUTA NI WA AKINA JK wadogo,na wengine wengi,watu tunafanya siasa tu tokea miaka 49 iliyopita huku mambo mengi yakienda mrama,na kwa taarifa tu kwa kipindi cha 2010-2015 kuna vijana zaidi ya milioni moja watapiga kur na nina amini ndio utakuwa...
  6. A

    Hodi hodi wana jf:

    waku nawasalimu kwa heshima zote,nategemea kupata michango yakuweza kuleta ukombozi wa taifa letu tukufu
Back
Top Bottom