Search results

  1. Caelish Lishman

    Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

    Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
  2. Caelish Lishman

    Prof. Beno Ndulu: Watu wanaongea wasiyoyajua, BoT haina wafanyakazi hewa

    Duh hii ndo Tanzania aisee kweli inasikitisha sana.
  3. Caelish Lishman

    Rais Kikwete, Mwinyi, Mkapa na Mbowe, Lowasa wahudhuria mazishi ya Askofu Amedeus Msarikie

    Acha kupotesha jamii mbowe ajamchana Rais ameomba amani itawale hata na sisi tuko msibani
  4. Caelish Lishman

    Kwa uhuni huu wa Fastjet haukubaliki

    Pole kaka kwa yaliyokukuta ila mimi nimepanda kwa hiyo bei 32000 + vat return na nilifanya booking online an then nikaenda kulipia ofisi zao ila sijui kama wewe ulilipa ndani 42 hours maana ukichelewa hapo ndo inakuwa shida nyingine halafu kumbuka kuwa cheap flight siku zote ndo lazima ziwe na...
  5. Caelish Lishman

    Spea za Laptop/Kompyuta zipo hapa

    Mimi naitaji HP 530 betri unayo? na kama unayo ni sh ngapi?? mi niko arusha ila kama ukinihakikishia naweza jua jinsi ya kupata
  6. Caelish Lishman

    Spea za kompyuta/laptops

    Habari Mimi naitaji betri ya HP 530 ni sh ngapi???
  7. Caelish Lishman

    hukumu kesi ya lema

    Lema sio mbunge tena so sad
  8. Caelish Lishman

    Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    Chadema oyeeee
  9. Caelish Lishman

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Wewe mtoa mada unafurahisha kweli siku hizi mwanamke ukikutwa bikra ni hasara kwa jinsi kwa sababu mliheshimiwa lakini mmekutwa hamna hadhi tena ya mwanamke kujitunza kusubiri mume amkute bikra so uwezi kurudisha utamaduni nyuma na pia sio wanawake wote wanatolewa bikra na wengine tunajitolea...
  10. Caelish Lishman

    Ngono maofisini

    mi sioni cha ajabu tatizo la sisi watz tunapenda kukuza mambo ya wenzetu lakini yako unabana uwa tunajiona wasafi usikute mtoa mada na yeye ndo zake .
  11. Caelish Lishman

    Ndege ya Rais yazuiliwa

    mkwereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:lol:
  12. Caelish Lishman

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Jamani sipendi kungilia dini lakini hapa nitasema huyu mwingira anakosea kusema kwa sababu ukisoma maandiko kila kitu lazima kiende na sadaka kumtumikia Mungu ni gharama ndo maana alisema kuwa ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko binadamu kuingia ufalme wa Mungu sasa huyu babu...
  13. Caelish Lishman

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Kama ni kweli wamesema hivo basi waislam wamekosa sera angeenda kufanya research aone walivyojaa kwa babu duh yaani kweli waislam wanaitaji maombi kwa maana hizi sio akili zao. Ukitaka kuwauliza reason kwanini waislam wasiende watakupa sababu ambazo hazina maana kabisa maana najua wanachopinga...
  14. Caelish Lishman

    Hotuba ya kutisha!!!!!!!!

    Ha ha ha duh kweli ndoto yako ni burudani lol
Back
Top Bottom