Nia thabiti na mipango endelevu, napenda kumpongeza mh wazir kwa hotuba yake nzur iliyojaa matumain tele kwa watz. Mwisho kabisa nimshukuru mke wangu mpenz kwa uvumiliv wake.
Hata hao JW wana njaa sasa yakitokea mapambano ndo utasikia. Selous game reserve kuna wasomali wanawinda swala wanauza nyama uarabun. Serikali legelege.
Picha za watoto zimenitoa machoz na kunihudhunisha siku nzima, Nawish ningekuwa front line kuwasaidia severely malnourished children. Na hao watoto wanahitaji chakula na dawa, within 14 days wanapona complications zote. Kunahitajika sustainable assistance.

ndg shukuru kama mamako ni mwelewa, haiwezekani watoto wote wa kiume 4 wake zao tuwe wabaya. Mama anaweza kukaa kwako miez 6 haumwi wala nini na kwake ni hapa hapa mjini na sio kama hajiwezi. Na kubagua wajukuu ambao sie wanawake sio wakabila lake??

ugomvi ulianzia kwa mtoto wangu, alimnyoa nywele kidogo, nikahoji akasema mimi sio kbila lao siwez kujua mambo hayo. Vita akaanzia hapo me sio wa kwanza kwenye hyo familia kukutwa na hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.