Search results

  1. R

    Nyumba ya gharama nafuu - Small , simple but beautiful

    Hizo nyumba za mbao kila mwaka zina bomolewa na matornado hulo Uamerekani, lakini bado wanaendelea kuya jenga. Kila mtu anacho alichozoea. Uamerekani isipojengua na mbao basi hiyo sio nyumba. Hapa bongo isipojengwa na tofali basi hiyo sio nyumba. Ukuta ikilia ngoma watu hawaitaki. Pia ukijenga...
  2. R

    Wageni kuwepo na kibali cha kufanya kazi

    Naomba ku uliza swala moja..... Ni nini inayemfanya mfanybiashara amlipe mgeni mshahara mkubwa kuliko mtanzania??? Ninavyo waelewa wanabiashara, niya yao ni kupunguza gharama zao ili kuongeza faida yao. Hivi kumleta mgeni na kumlipa mshahara mkubwa, na nyumba, na usafiri, na kumpatia...
Back
Top Bottom