Search results

  1. N

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    TAKUKURU bado ipo? Maana haisikiki siku hizi, imekuwa kama dawati la maktaba
  2. N

    DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  3. N

    Tetesi: Wajipanga kuitetea Acacia Mining Bunge la bajeti

    Habari za ndani kutoka hapa Dodoma ni kuwa kuna kundi la wabunge wapatao 10 wamewekwa sawa na mwekezaji wa nje, Acacia Mining Plc, ili waitetee kampuni hiyo kwenye sakata la mchanga wa dhahabu dhidi ya serikali. Wabunge hao 6 wa CCM na 4 wa upinzani wamepewa kila mmoja dola za Marekani elfu...
  4. N

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Tanzania kweli ni shamba la bibi. Wageni wanakuja na kujichumia mali hata kwa njia za wizi halafu serikali iko kimya. Tunaomba mawaziri wafuatao watoe majibu ya kashfa hii kubwa: 1. Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi (Wizara yake ndiyo inasimamia usajili wa kampuni za ulinzi) 2...
  5. N

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Tuhuma zote hizi za ufisadi bado serikali inamchekea Lowassa? Peleka huyo mwizi mahakamani mara moja. Mahakama ndio itaamua kama Lowassa ni Jacob Zuma au Mobutu Sese Seko! Tusipoteze muda na Lowassamania, apelekwe kortini haraka! Kama huu ujinga utaendelea court of public opinion ambayo...
  6. N

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Mimi niliacha kusoma MWANA HALISI na Tanzania Daima muda mrefu sasa baada ya kuona jinsi walivyonyea mavi kambi ya kuandika ukweli daima na kupambana na ufisadi na kuhamia kambi ya mafisadi. Waandishi wa Tanzania wenye roho za kuku wanachangia kuliteketeza taifa kama waandishi wa habari wa...
  7. N

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Saeed Kubenea ni garasa tu, Watanzania wengi ni watu wa kukurupuka na kufuata mkumbo wala hawaangalii mambo kwa undani. Wahariri wa Tanzania wanamjua Kubenea ni mbabaishaji na wala hawamuheshimu, ni wavivu tu wa kufikiria ndio wanamuona mtu huyu ni shujaa wao. Kwanza ile kesi ya kumwagiwa...
  8. N

    Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    Wamesema Zitto amekutwa na vijidudu 150 vya malaria. Is this humanly possible? Maana vidudu 5 tu vya malaria mtu wa kawaida yuko hoi bin taabani. Pia, toka lini mtu akapelekwa India kutibiwa MALARIA? Sijawahi kusikia tamthilia hii
  9. N

    Kikwete anamchanganya nini Mengi?

    Hii post sijui kama itadumu humu JF....
  10. N

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Mharakati umenena, kuna watu wajinga na wavivu sana wa kufikiri. Badala ya kutumia akili zao wenyewe na kutathmini mambo, wanaimba nyimbo za mnafiki, mnafiki tu. Sijaona hata mtu mmoja anayempinga Sitta aliyetoa hoja yoyote yenye umakini. Wanaimba wimbo tu mnafiki, mnafiki, mnafiki.... Hehe, ni...
  11. N

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Tatizo hapa ni kuwa watu wamelishwa maneno na hawajui hata maana yake halisi. Samuel Sitta angekuwa mnafiki basi angepinga posho ili kupata umaarufu wa bure kumbe kwa undani anaunga mkono. Kwa kuwa Sitta si mnafiki hata kidogo, akasema kweli Bungeni kuwa yeye anaunga mkono posho. Sitta akiwa...
  12. N

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Nyie kwenye system (U2) ndio mnaongoza kwa kula rushwa. System sasa haiaminiki tena, mmekuwa compromised mpaka mnapeleka ripoti za uongo serikalini. Mmemfanya Rais abaki amechanganyikiwa hajui nani wa kumwamini. System ya ukweli ilikuwa wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, system ya sasa inanuka...
  13. N

    Mtoto wa Mkulima Mizengo Pinda kumjibu Lowassa Ijumaa?

    Kweli Ijumaa Bungeni itakuwa hapatoshi. Lakini kwa tabia ambayo Pinda amekuwa akiionesha tangu apewe cheo cha PM mwaka 2008, sitarajii kama atatoa kauli kali yoyote. Pinda is a weak leader ndio maana fisadi kama Lowassa anakuwa na audacity ya kuinyooshea kidole serikali pasipo kuwa na wasiwasi...
  14. N

    Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

    Tangu Juni 11 niliweka post hii humu kwenye Jukwaa la Siasa, ila moderators wakaificha kwenye folder ya Hoja na Habari Mchanganyiko ambayo zaidi ni kwa ajili na masuala yasiyo serious... Nyie moderators nao mnatia mashaka sasa! Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria Waziri Mkuu wa...
  15. N

    Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria

    Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu mwaka 2008 kwa kashfa kubwa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, ametuma ujumbe wa watu wawili waende Nijeria kukutana na Pastor TemitopeBalogun Joshua a.k.a. Prophet T.B. Joshua ambaye 'alimtabiria' Mbunge Beatrice Shellukindo kuwa Lowassa atakuwa Rais wa...
  16. N

    Bajeti ya Kenya yaizidi ya Tanzania kwa $5 billion

    Kenya, inayonyimwa misaada na wafadhili na kusumbuliwa na matatizo ya ukabila, bado inaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kufananisha na Tanzania yenye amani tele na inayopewa misaada lukuki na wafadhili. Je, tumelogwa Watanzania? Tatizo letu ni nini?
  17. N

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Nimejaribu kufanya utafiti pori. Mbele yangu nina faili zima la magazeti ya MwanaHALISI. Toleo la mwisho ambalo gazeti hili liliandika habari ya kumbamiza Lowassa ni tarehe 6 Aprili kwa kichwa cha habari: "Lowassa hasafishiki." Baada ya hapo, matoleo yote 6 yaliyofuata ya MwanaHALISI...
  18. N

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Ni ukweli kabisa kuwa Kubenea amenunuliwa na mafisadi. Tatizo la Watanzania wengi ni wagumu kufikiri na kufanya uchambuzi wa mambo. Ukiangalia mwenendo wa habari zinatolewa na MWANAHALISI kwa zaidi ya mwezi sasa utaona gazeti hili limebadili mwelekeo kabisa. Mei 18, 2011 niliweka post hii...
  19. N

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Nimejaribu kufanya utafiti pori. Mbele yangu nina faili zima la magazeti ya MwanaHALISI. Toleo la mwisho ambalo gazeti hili liliandika habari ya kumbamiza Lowassa ni tarehe 6 Aprili kwa kichwa cha habari: "Lowassa hasafishiki." Baada ya hapo, matoleo yote 6 yaliyofuata ya MwanaHALISI yamekuwa...
  20. N

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Ahsante kwa kuona hilo!
Back
Top Bottom