Search results

  1. K

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Enzi za Mwalimu angevunja Bunge zima na Baraza la Mawaziri Rushwa ya jumla kabisa hii
  2. K

    Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

    Mstaafu Jakaya Kikwete anawashwa na nini? Na Mjumbe wa Mkutano Mkuu MWAKA 2017, aliyekuwa Rais wakati huo, John Pombe Magufuli, alisema: "wastaafu wengine hawachoki kusema, wana washwa washwa." Magufuli alitoa kauli hiyo kuwalenga baadhi ya wastaafu ambao aliwaona kuwa wanaleta chokochoko...
  3. K

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Hata ukitumia maandishi makubwa na bold ukweli utabaki palepale, Edward Lowassa hafai kuwa kiongozi Tanzania. Ni mpenda mali, ana utajiri mkubwa wa mashaka, amehusika na kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana akalazimika kujiuzulu na ni kibaraka wa Rostam Aziz. Samuel Sitta na Harrison...
  4. K

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Samwel Sitta ndiyo kiongozi wa CCM anayekubalika na wananchi wa Tanzania kuliko mtu yoyote yule kutokana na kupinga ufisadi kwa vitendo. Ukweli ndiyo huo. Hata CHADEMA wanamuheshimu Sitta kwa hili na rekodi yake ya uongozi haina doa.
  5. K

    Infighting threatens to weaken CCM as CHADEMA grows stronger -- REUTERS

    Haya we... Chama chetu cha Mapinduzi (CCM) chabomoa nchi...
  6. K

    MAISHA BORA: IMF sees slower growth, high inflation in Tanzania

    Nyingine hiyo..... MGAO WA UMEME Uchumi wayumba * Taifa lapoteza sh. trilioni 1 kwa mwezi * Hofu yatanda maelfu ya vijana kukosa ajira * Ukali wa maisha wawaacha Watanzania hoi * Serikali yang'ang'ania mchezo wa Dowans MWANDISHI WETU Dar es Salaam MGAO wa umeme unaoendelea...
  7. K

    MAISHA BORA: IMF sees slower growth, high inflation in Tanzania

    Je, haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania ambayo Rais Jakaya Kikwete alituahidi? IMF na wataalamu wengine wamesema kuwa tatizo kubwa la kuporomoka uchumi ni kutokana na ukame unaosababisha mgao wa umeme na upungufu wa chakula. Tangu ukame wa 2006 na mgao wa umeme, leo hii imepita miaka 5...
  8. K

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Afya ya Lowassa si issue. Jambo la msingi ni kuwa yeye ni fisadi na amechafuka sana. Hana maadili, ni mpenda mali na hafai kuwa kiongozi. Wewe unayesema kuwa Lowassa ndiye presidential candidate pekee anayefaa CCM baada ya Kikwete bila shaka unapakatwa na Lowassa. Ndani ya CCM kuna viongozi bora...
  9. K

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Je, una hakika na unachokisema? Hebu bofya hapa chini uone usahihi wa mambo:
  10. K

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Wenzako hatukurupuki. Majibu ya maswali yako ya kizushi haya hapa:
  11. K

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Tabaka la watawala Tanzania ni sawasawa na Gaddafi kwa sababu zifuatazo: 1. Wote wanaimani potofu kuwa serikali yao inapendwa sana na wananchi 2. Wote wanaamini kuwa maandamano yanachochewa na serikali/taasisi/wafadhili wa nje 3. Wote wanaamini kuwa wananchi wanapewa kitu ili kushiriki...
  12. K

    Serikali sasa kununua mitambo ya DOWANS!

    Sikilizeni WADANGANYIKA wenzangu. January Makamba ni wakala wa mafisadi. Amepewa ubunge na Rostam Aziz na Edward Lowassa ili wamtoe William Shellukindo aliyetoa uamuzi kamati ya ubunge ichunguze Richmond. Pia wamemuweka kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ya Bunge ya Nishati na Madini ili...
  13. K

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Sikilizeni WADANGANYIKA wenzangu. January Makamba ni wakala wa mafisadi. Amepewa ubunge na Rostam Aziz na Edward Lowassa ili wamtoe William Shellukindo aliyetoa uamuzi kamati ya ubunge ichunguze Richmond. Pia wamemuweka kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ya Bunge ya Nishati na Madini ili kufanikisha...
  14. K

    Lowassa atembelea waathirika

    There are currently 23 users browsing this thread. (4 members and 19 guests) Kambarage MENGI Bill JF Marketer Bwana MENGI wewe unasemaje kuhusu Lowassa, mbona uko kimya?
  15. K

    Lowassa atembelea waathirika

    Lowassa ni fisadi mkuu hapa Tanzania. Yeye pamoja na swahiba wake Rostam Aziz wanaivuruga sana nchi hii. Wacha CCM wamchague awe mgombea Urais wa 2015 ili kifo cha chama tawala kitimie rasmi. Mungu Ibariki Tanzania!
  16. K

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Eti Lowassa ni msafi??! Mwizi mkubwa huyu. Subirini akirithishwa Urais na Kikwete 2015 mtaona atakavyojilimbikizia mali (in billions of US dollars) kama Hosni Mubarak wa Egypt. Ana tamaa kubwa sana ya utajiri huyu. LOWASSA has an insatiable appetite for political and economic power.
  17. K

    Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

    Ufisadi wa DOWANS, mgao wa umeme unaendelea kuvuruga uchumi wa nchi. Kagame wa Rwanda ameweza kushusha inflation mpaka -6.52% (a negative inflation rate or deflation). Huku Bongo bei ya sukari, petroli, umeme, sembe, maharage, ada za shule, zinapanda kila kucha. Haya ndiyo Maisha Bora kwa kila...
  18. K

    Je, Watanzania mlio nje ni vibarua na wabeba maboksi?

    Hii ni aibu kubwa sana. Mimi najua Watanzania wengi wanaoishi nje wamekata mawasiliano kabisa na ndugu zao wa Bongo. Hawana mpango wowote kabisa wa kuisadia nchi yao na wanajiona si Watanzania tena baada ya kuchukua uraia wa huko ughaibuni.
  19. K

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Shenzy, jaribu wewe ku-survive kwa bajeti ya shilingi elfu 5 kwa siku kama utaweza. Piga hesabu gharama ya chai, lunch na chakula cha jioni. Hapo bado maji ya kunywa, kuoga na kufulia nguo ni ya kununua kwenye ndoo. Pumbaf mkubwa wewe. Kwani serikali inatoa shilingi bilioni 100 kwenye bajeti ipi...
  20. K

    TANGAZO: "A March of a Million" kupinga malipo kwa DOWANS

    Naunga mkono wazo hili. Kuna haja ya kuandaa maandamano makubwa sana ya kitaifa kupinga kulipwa DOWANS. Ni lazima nguvu ya umma ionekane hadharani, muda umefika sasa Tanzania!
Back
Top Bottom