Kwa upande mwingine, unapoona mtu kama Trump alifanikiwa kuwa Rais na kuendelea kuwa licha ya kashfa nyingi zilizomwandama baada ya kuteuliwa, ndipo mtu unapoweza kuhitimisha - hakuna mfumo wa kiutawala uliothabiti na hata kuwa mfano.
Hebu fikiri tu kwa mtu kama Boris Johnson kuwa PM , ama kwa...
Global:
1. Evian
2. Volvic
3.Saka
4. Perrier
5. San Benedetto
Tz:
Hill
Sequa
Dew Drop
Udzungwa
Canadian
Cool Blue
Dasani
Lulu
Ruwenzori
Ndanda
Uhai
Kilimanjaro
Jambo
Mwanza
Masafi
Safina
Afya
Sent using Jamii Forums mobile app
This is some food for thought and it's deep...like in really DEEP, shikamoo Kiranga!!!
Umemuona Ngabu anaonesha nia ya kushiriki, vipi upande wako, nawe utajitosa?! :)
Ni mwaka mmoja umetimia, kesi zilizohusisha Maxence kukamatwa na baadae Mike kuunganishwa kwenye mashtaka bado ziko mahakamani. Hata leo hii 13 December 2017 kesi inasikilizwa. Tunawaombea mema na ushindi katika majaribu haya makubwa kwenye harakati za kutetea faragha za watonyaji...
Mkuu, editing ya video anayokusudia itafanya ila siyo kwa ufanisi. Combination ya processor hiyo na ram average itapelekea rendering ichukue masaa mengi. Kama motherboard inaruhusu expansion ya ram zaidi hadi 8gb basi aongezee ili kuboost performance kidogo.
Kwa kufanya editing ya docs, light...
Mchambuzi, nimependa sana nondo zako kuhusu mapungufu ya sera za ujamaa. Ni kweli kabisa kuwa ujamaa mtaji wake mkuu ni umasikini wa watu, na bahati mbaya haujadumu duniani popote ulipotumika.
Ujamaa hauna miaka 100 tangu uanze, uwe ule wa kiCuba, wa Lenin au Mao. Wakati ubepari umekuwepo na...
Naungana na wenzangu hapo juu Ubongo Kids kinachorushwa na TBC1 ni moja ya vipindi vizuri sana kwa watoto vyenye kuelimisha na kuburudisha kwa TV za hapa nchini. Pongezi kwa watayarishaji wa vibonzo hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.