Search results

  1. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Edmund Mkuu umechanganua vizuri. Ila umesema mapato ni Tsh 500/= kwa tikiti moja?. Ni wapi huko? Mbona masoko mengi Dar tikiti moja ni wastani wa sh 3000/= mpaka tsh 5000/=.
  2. M

    China sells counterfeit parts to US Army

    Wameambiwa wanunue parts toka China?. Hizo si propaganda kweli?
  3. M

    Inasemekana asilimia 80% ya wanawake walio olewa hawatoshelezwi kimapenzi kwenye ndoa zao

    Tafiti zinasema kati ya watoto wa kike na wakiume,wa kike huanza mapema zaidi vitendo vya ngono!.
  4. M

    Hivi ma cd ni asset ama liabilities??

    Ni asset. Ila ni current assets!
  5. M

    Hujisiakiaje wenye marafiki wa namna hii?

    Hiyo mara nyingi ni kwa watotowatoto ki ma penzi. Wenyendoa hawanaga tabia hizo. Hata kama una namba ya rafiki wa mume mke wako hauthubutu kupigapiga hovyo ki hivyo kwani nyumbani patakuwa pa moto na hata chakula ya usiku hamtokula vizuri!.
  6. M

    Mh. Lissu na Mgongano wa Katiba ya JMT na Zanzibar

    Sawa mkuu. Ila naomba nielimishe.Miaka si mingi nyuma Mahakama ya Zanzbar iliwaachia wanachama wa CUF ambao walishtakiwa kuwa kuwa ni wahaini. Judge alisema kwamba mtu yeyote hawezi kufanya kosa la u haini Zanzbar kwa anayeitwa Rais wa Zanzbar kwani Zanzbar si nchi na ili aweze kusemekana...
  7. M

    Ndivyo Nyerere alivyo tudanganya-personal conflicts, war for all!

    Huyu mtoa mada nahisi anafikiri kwa kutumia masaburi. Amini angeachiwa angeona utamu na angeweza kutugonga mpaka Dar! Angefuatilia vizuri angepata moja ya hotuba aliyotoa Fashisti Idi Amimi akiwa pale Kagera huku akiwa amesimamisha bendera ya Uganda(TBC na kitengo cha habari JWTZ wanayo)...
  8. M

    Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

    Kauli hiyo ni ya uongo na inaficha maovu. Ina maana unaweza kutembea uchi saa 6 mchana Kariakoo simply mavazi sio issue tatizo tabia. Hicho utakachokua unafanya ndio tabia mbaya yenyewe!
  9. M

    Mtangazaji wa CTN Rahma Aziz

    Kwa tunaokumbuka hiyo kitu,you are right!
  10. M

    Mtangazaji wa CTN Rahma Aziz

    Misanya mara mojamoja weekend anapatikana pale Migombani bar Survey akibadilishana mawazo na baadhi ya ma profesa.
  11. M

    Sherehe za miaka 50 ya Uhuru Ziliko noga na Zilikododa

    Habari za Tabora kwa mwezi kwa wastani huta zinatoka mara 1. Fuatilia vyombo vya habari. Je waandishi wetu nao wameisusa Tabora kwa nini?. Tafakari!
  12. M

    Ni Miaka 50 ya UHURU au 49??!!

    Tafuta vitabu vya hisabati upitie haya:namba nzima,namba za kuhesabia,equal to,less than,greater than,less or equal,greater or equal,inclusive,exclusive. Vitakutanua zaidi mawazo!
  13. M

    wachaga mlioacha wake zenu vijijini,wakenya wanawasaidia shughuli

    Noah hata Dar zinafanywa daladala. Nenda Kimara njiapanda ya kwenda Goba na njiapanda ya kwenda Bonyokwa ndio zimejaa kama daladala!
  14. M

    Baraza la Wawakilishi Zanzibar Lashirikiana na Pombe Serengeti

    En vino veritas! In wine there is truth/wisdom!.
  15. M

    Waionaje Kili Stars ya kina Julio/Master?

    Kumbe timu ilikuwa hivi! Akh! Lazima watu wazomee. Na nasikia Julio aliwahi kuropoka kwamba Yanga hawachagui kwa kuwa hawana vipaji! Labda amchague Mwape na Asamoah. Kauli na matendo ya Julio pia vili haribu umoja uliotakikana.
  16. M

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    Lowasa kuongea TBC wala si tatizo. Kilichonishangaza mi labda na wengineo ni kasi aliyotumia kutoka uwanjani mpaka TBC! Kwani dakika tu alikuwa stadium na nguo zake zilezile!. Na mtangazaji aliyemuhoji ameonekana kama kampokelea getini ndipo wakaelekea wote ndani studio(alikuwa anamsubiria...
  17. M

    Je ni sahihi?

    Mrudishe nyumbani kwao huyo dada haraka. Unaibiwa....!
  18. M

    TBC hivi hamsikii jamaa wakitoa matusi makubwa wakati maadhimisho yakiendelea live???

    Mmoja nilimsikia anasema wawahi kutoka ili waziwahi kwenye viti virefu pale Hongera Sinza. Nadhani walikuwa watu wa TBC wale. Pale si jirani na ofisi zao.
  19. M

    Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi?

    Demonstration ya silaha za kivita wala si jambo baya ki inteligencia. China,Russia Korea nk huwa wanafanya maonesho ya silaha zao mara nyingi tu.Kumbuka silaha zilizopo kwenye kila nchi unaweza kuzijua uki taka kwa kupitia mitandao. Kinacho matter ni uwezo na ujuzi wako wa kuzitumia. Kumbuka...
Back
Top Bottom