Search results

  1. deom2i

    Jinsi ya kufungua Samsung Galaxy S III and Note 2 zinazotumia simcard wa nje ya nchi tu!!

    Kwa wale watakaonunua samsung s III and Note II kutoka nje ya nchi ambazo huwa zinatumia simcard za huko tu. Hii njia itafungua sim yako iweze tumia simcard ya mitandao yote ya hapa nchini. Njia hii ni BURE!! Note that this method may not work for all Galaxy S III or Note II variants. Also keep...
  2. deom2i

    Mirco SIM CARD For Smart Phones !!

    Mi niliwaka mpaka wakachonga bure, yani vodacom kabisa wanadai elfu 10,000. Hata aibu hawana....hizi njaa bwana. Elfu kumi kabisaaa! Hehehheeee. :banghead: Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
  3. deom2i

    Mirco SIM CARD For Smart Phones !!

    Bora ununue sim cutter. TZ watu wanacut kwa T.sh 10,000 utafikiri wanazitengeneza hizo sim card kumbe wanazipunguza tu!!
  4. deom2i

    Need a girl friend

    Hahaha! Sasa mi jamaa namuelewa sana, amechoka na mambo ya madada wetu asili ya kiafrika! Wahindi wengi wao hukaa na wapenzi wao bila kutoka nje ya urafiki. Waarabu pia hutulia pia, wakikupenda huwa wanapenda na nyumba. zao. Sasa wenzetu, madada zetuuu........weeeeeeeee!!! utampa kila...
  5. deom2i

    Nimuelewe vipi huy demu,,au nimueke kundi gani ?

    Kwanza mdada, anajua jinsi ya kumkwepa mdingi wake...sasa inamaanisha nimtaalamu wa kutoka usiku. 2. Katuma barua kupitia kwa mashikaji...inawezekana ndio zake 3. Amekuona wewe mpole na hujui nendo zake....maanake alikopita si kwema sana 4. Yuko radhi awe na wewe hatakama umelala la...
  6. deom2i

    Lamborghini langu hili hapa

    Kitu chenyewe...walijua ukiwa na kitu kama hicho utaweka totos mpaka nyuma...sasa kuna siti 2 tu. Yani wewe na mkeo hakuna kimwana...ehhehe!
  7. deom2i

    Simu izi???????????????????!

    Zinatoka kwa yulee mzee zinakuja kwako!! hehehe!
  8. deom2i

    Aina za uzuri

    Binafsi naangalia 1.tabia 2. uzuri wa umbo na sura!! siku hizi mambo mengi, wanawake wanabeba mizigo kutolingana na tonne zao.....ndio sasa kuchoka alafu anatako aolewe!!! hehehe!
  9. deom2i

    The Bottom line ya sanaa ya kutongoza

    Hehehhe! Kumbe na mimi nilishawai kutongozwa mara nyingi...sema ndio nimejua..mademu kumbe nomaa...hehehhehe!!
  10. deom2i

    When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

    Yote mabaya sana, sijawai au sijakupenda....dah! yote inamaanisha kibuti mbaya!!
  11. deom2i

    Swali kuhusu internet package ya Airtel

    Kabisaa, Vodacome is the best. Chukua unlimited ya wiki moja ama kwa mwezi. Hakuna tena usumbufu.
  12. deom2i

    Credit Card in Tanzania

    Jaribu na CBA Bank wanazo pamoja na internet banking.
  13. deom2i

    Natafuta mini silent generator

    Ndugu, unahitaji generator yenye silent canopy ya Kilowatt ngapi? Pia unataka iwe inawaka automatic na kujizima? Je unaitaji air condition inayotumia solar pia?
  14. deom2i

    Nishati Mbadala kwa matumizi ya nyumbani

    Kuna njia nyingi za nishati za mbadala kama, 1.Biogas, inatokana na mbolea hasa ya ngome kutengeneza gesi, hii unaweza pikia amakuwasha taa za gesi. Ni rahisi pia kuinvest. 2.Kuna solar, kutokana na miyozi ya jua, unaweza tumia kwa taa na hata kupikia kwa kutumia majiko ya sola. Bado...
  15. deom2i

    Anapata orgasm akimnyonyesha mtoto!!! ushauri plz

    Biologically, ni tatizo la hormone. Kwa Tz hormone therapy sijui ni wapi wanafanya na ningumu kucontrol hali hiyo kwani ni chemicals za mwili. Unaitaji kumuona gynecologist, mtaalamu wa mambo ya wanawake watakupa ushauri zaidi amadawa za suppress hormones hizo. Alafu jua nipples ni very...
  16. deom2i

    Dirty Four-letter words....!!!!

    Wazungu au niseme watu wa nyanda za juu, wenye matawi yani pesa kibao....hizo 4 letter wanazikabili hivi, Dust, wanatumia vacuum cleaner na air filters kwa ajili ya air inlet ya nyumba kutrap dust! Wash, wanatumia mashine za kufulia na dish washers Iron, wanatumia iron press ambayo inanyoosha...
  17. deom2i

    mume wangu jamani

    Kwanza kabisa Gaga, nikipenda kukupongeza kwa kuwa mkweli na fuata maelekezo ya michelle....! Pole sana, ndio maisha ya kimapenzi ila na mme wako aache ujinga maana....watoto wa nje au STD ndizo zitafuata!!! siku hizi zimelaaniwa sana...yani mke ni wa wote na mme ni wa kila mtu!! Balaa...
  18. deom2i

    Ninunue modem gani ?

    Mi naona voda is the best, kwa kutumia package yao ya unlimited (free download and upload) ya Tsh, 30,000 kwa siku 30. Package hii haina limit ya download limit na usiku unapata 512Kps ambayo inaweza download kwa speed ya 60KBps. Movie ya 700mb ni masaa 3 tu usiku. Kama unataka speed zaidi ni...
  19. deom2i

    Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

    Mambo ya mtandao na umix mix wa ma culture ndio tatizo....sikuhizi maduu hata kilugha hawataki kujua.....yani ni english kwenda mbele ili na chat ipande...c unajua msomi nini!!! Sasa ilikupata huyo doo wa kibongo ki ukei inabidi uwe na mipesa ka ya samaki ua migodi, wanasahauu kingereza na...
  20. deom2i

    Je Forums Ni Salama ???

    Internet ni complex kinoma, ila watu wakitaka kujua details zako wanapata bila hata ya mwenywe forum kujua, moja wapo ni ku fish IP address yako na location yako kupitia servers wako. Ziko tools kibao za kufanya kazi hizo. Ila hizi zinatumika hasa kwa ajili ya kupata infomation za password za...
Back
Top Bottom