Search results

  1. Matti

    PROGRAM YA MATOKEO KWA PC

    Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms? Vile vile nahitaji application ya kutengeneza photo entry za form 2, 4 na 6 kulingana na format ya NECTA.
  2. Matti

    EDUCATIONAL PC APPLICATION

    Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms? Vile vile nahitaji application ya kutengeneza photo entry za form 2, 4 na 6 kulingana na format ya NECTA.
  3. Matti

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    halafu kama vile wamechanganya maana shule ya MKUU SEC ipo Kilimanjaro lakini kule wameiweka mkoa wa tanga.
  4. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    amepata , mpe hongera sana amepata CBN Longido sec.
  5. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    majina yapo yote, au kama bado hujafanikiwa kuyaona yote, tembelea www.mkuutaaluma.blogspot.com wameweka majina yote yapo katika mfumo wa pdf
  6. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    S0345/0226 Gwalugano H Hajji, comb CBN, amepangwa Longido Sec - Arusha
  7. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    HUYO NI CHUO CHA UFUNDI, ELE ni ELECTICAL ENGENEERING
  8. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    vyuo vya ufundi wamechanganya humohumo kwa hiyo link...
  9. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    ingia kwa hii blog www.mkuutaaluma.blogspot.com wameweka iliyo full katika pdf
  10. Matti

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    tembelea www.mkuutaaluma.blogspot.com wameweka link yenye majina yote yakiwa katika pdf
  11. Matti

    Nani haelewi kati ya hawa?

    dah... nimecheka sana
  12. Matti

    Between your legs!

    A Good Man Is Hard To Find - Between Your Legs
  13. Matti

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo chanya ni moja kati ya siri za mafanikio
  14. Matti

    hadithi ya kichina iliyosikitisha!!

    Mi mpaka maachozi yamenitoka:A S cry:
  15. Matti

    CPA(T) v/s MASTERS

    :shut-mouth:
  16. Matti

    Ajira za walimu:siku kuhesabiwa.

    Karibuni sana wandugu, ila siwapi moyo, mambo si marahisi kama baadhi ya walimu tarajali wanavyodhani... kama walimu wa sayansi mna hali mbaya. :confused2:
  17. Matti

    Hamna kazi nzuri kama ualimu jamani.

    Hahahahaaaaa:msela::typing: Kweli wewe mwalimu, unaongea tuu halafu unalipwa mwisho wa mwezi, saa 8 kazi kwisha upo nyumbani unaangalia muvi au umelala au upo kijiweni. una raha sana kuwa mwalimu... mh!
Back
Top Bottom