Search results

  1. N

    Nani anaweza kututhibitishia kuwa kuna bilioni 4 zilitengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru mwaka huu?

    Sasa kama kafuta sherehe za uwanjani na hakuna aliyebisha na kulazimisha ziwepo kubadili fedha zake shida itakuwa wapi. Bunge lilipitisha walipwe posho za vikao na umeskia hazina wamezichop, hizo za uhuru nini kikwamishe
  2. N

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Inawezekana ajawahi kucheat kweli, lkn kufurahika kupita kiasi na kutokana na ukweli kwa hawakuachana kwa ugomvi, lazima itie shaka future ya uaminifu wake
  3. N

    Sasa tunakwenda kushuhudia tofauti ya UKAWA kushika dola na CCM kurudi madarakani

    We unamiaka zaidi ya 20 lkn nna uhakika hujafanikiwa kila kitu, sasa huyu ndo kwanza ana mwezi mmoja ushaanza kulalamikia mambo anayotakiwa kuwa kayafanya baada ya miaka mitano
  4. N

    Sasa tunakwenda kushuhudia tofauti ya UKAWA kushika dola na CCM kurudi madarakani

    Inamaana hukusikia kuwa uchunguzi umeanza, na watu wasisafiri nje ya Dar
  5. N

    Vyombo vya dola mnakuwa wapi wakati uhalifu unatendwa?

    Sasa ma Mdogo unafikiri hao wakuu na wabunge ndo wanafanya upelelezi? Hao wabunge viongozi wanasoma ripoti wanazopewa ambazo hazikufanyiwa kazi watakavyo
  6. N

    Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

    Huyu naona anazingua tu, wengine wamesema ule wengine wamesema usile, utachukua lipi sasa. Mnk mwamuzi wa mwiaho ni ww, na uamuzi unao Tayari Kabla hata hujaja hapa
  7. N

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nahisi nimekuelewa, ila ambacho cjaelewa, na itabidi unieleweshe, wakati wanateuliwa kupewa hizi nafasi uliwahi kuhoji kwanini waislam tu? Hakuna wakristo wa kuwapa nafasi
  8. N

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Tbc washaonesha mtu kamwagwa mavi tra
  9. N

    Nimekuta SMS za kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu

    Kasema ukweli humuamini unataka akuongopee kuwa ni zake ili umuamini
  10. N

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Ila nifafanulie kidogo kwenye at least 20m, hizo ni kununulia dawa tu ama kukodi na kutransfom jengo na dawa za kuanzia na vibali
  11. N

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Wangapi wana hardtop, wengi wao wana maUsed ambayo hayafki ht nusu ya 90 ya zamani, wahuni hawa. Mbunge wa nyamagana hardtop ya Nini wakati hata carina anazunguka jimbo zima
  12. N

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Tafuta maandiko 'leadership dubai style'. Mtafute baba wa Singapore Lee Kwang style yake ya uongozi. Pia tafuta ya Steve Jobs af uje usemee tofauti ya uambiwayo na westerners kuhusu hii style ya uongozi
  13. N

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Labda abadili namna ya kusherehekea, lkn co kusema kafuta, badala ya kwenda uwanja wa uhuru, tutaingia mitaani kufagia na kuzibua
  14. N

    Tulichokunywa na kula Ikulu Chamwino

    Kaliongelea bungeni
  15. N

    Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Magu alisema hivi, km ana uhakika umevunja sheria, ye anakuvunjia na injuction yako ili ubadirishe kesi iwe madai, af anakushinda mahakamani
  16. N

    Chasha Message: All the Best kwa Ujasirimali Members

    Shida ya wasiotaka kuelimika wakiona maandishi mengi hivyo hawasomi, wanakimbilia kuchangia ujinga na kuendelea kulalamikia serikali, mf hao waliogundua opportunity ya kufata vitu china ilkuaje, hao wanaofuga kuku serikali imewashikaje mkono, shida ni kutaka kuajiriwa serikalini wakati hata nchi...
  17. N

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mtaji sio tatizo, sehem sio tatizo, tatizo ni mtu wa kumkabidhi shughuli hy mnk sina muda wa kukaa huko shamba, unao vijana wazuri?
Back
Top Bottom