Search results

  1. adakiss23

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Pompidou Nsengiyuva Kama umekuja mjini juzi na kuanza kushabikia mpira huwezi kumjua
  2. adakiss23

    Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

    Tanzania kuna ujinga mwingi sana. Job kaachwa Yanga wanapiga kelele. Ila kuna mambo ya msingi hawayaoni kabisa. Mfano mzuri, Kibu na Mzize wameitwa national team ila Waziri Junior hajaitwa. Kibu hana goli hata moja, Mzize hata sijui kama amefikisha manne. Hakuna anayesema. Yule center back wa...
  3. adakiss23

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Mjini umekuja lini kwanza?
  4. adakiss23

    Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

    Kunjani [emoji444]
  5. adakiss23

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Hahahaha ghafla nmekumbuka yule mhindi alikuwa anauza dawa maarufu kwa TOTI miaka Ile.
  6. adakiss23

    Read Between The Lines: Yanga SC Wanaitwa Kijanja Mezani na Azam FC

    Wanasahau bado ni mchezaji wa Azam.
  7. adakiss23

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Makonda ndo mahakama anatoa haki? Mkuu jitafakari
  8. adakiss23

    Read Between The Lines: Yanga SC Wanaitwa Kijanja Mezani na Azam FC

    Tatizo la Uto wanataka mchezaji bure. So waendelee kusubiri huyo WA bure. Azam aliwahi kufanya hivi kwa Ngasa. Njoo Mezani huna hela chapa lapa
  9. adakiss23

    Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

    Wapumb.avu kama nyie hata kuwajibu ni aibu kwangu. 1998 Yanga walicheza Ligi ya mabingwa Dar uwanja wa Taifa? [emoji23][emoji23][emoji23] Watoto waliozaliwa 2000 mana shida sana. Games zote za makundi zilichezwa Mwanza CCM kirumba bwege wewe.
  10. adakiss23

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Huko usijaribu mkuu.
  11. adakiss23

    Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

    Wewe jamaa either una mtindio wa ubongo au ulivyozaliwa hujalia ukatiwa kidole ndo ukalia. 2010/11 Simba anacheza na Mazembe hapa kwa mkapa Simba anakufa 3-2 game inayomtoa samatta anaenda mazembe Yanga walivaa mashuka au sidiria ya mkeo. Au wakati huo ulikuwa kwenu Tandahimba
  12. adakiss23

    Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

    Hersi na yule mkaa tako moja walivaa jezi za Kaizer Chiefs na Orlando pirates. Hersi alienda mbali zaidi akawapigia video calls wachezaji wa berkane baada ya kuwafunga Simba. Huo uzalendo umeanza leo? Kama ni kosa kisheria waanze na hao kwanza
  13. adakiss23

    Yanga play like big European clubs

    Haji anakalia tako moja. Mchunguze vizuri
  14. adakiss23

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Time really flies aisee. Miaka Ile Bills, Mambo Club hatari na nusu. Sio kwamba hizi open bar hazikuwepo. Weekend imefika jioni unajongea Jolly pale au Qbar unaanza mdogo mdogo moja moja hadi saa 6 unazama bills hadi alfajiri. Dah maisha yake hawawezi kujirudia. Watu wastaarabu wanajua muziki...
  15. adakiss23

    Yanga play like big European clubs

    Kama Una kumbukumbu nzuri rudi nyuma msimu ule game na hilal mlisemaje kuanzia uongozi hadi mashabiki. Mwisho wa siku ni maneno tu uwanjani mambo ni tofauti
  16. adakiss23

    Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Sio kufa tu hata account za watu ambazo hawajazifuatilia muda mrefu zinapigwa. Imagine acc ya mtu hajacheki salio wala kuweka au kutoa fedha kwa miaka let's say mitano. Naskia branch managers ndo zao, huwa wanazipitia accounts za branch yake akikuta iko dormant anaanza kuifuatilia kwa ukaribu...
  17. adakiss23

    Kuna muda askari tigo niwaelewa

    Anakaa kwa shemeji keshashiba kiporo cha pilau anashushia na pepsi mkononi ana remote anaangalia filamu zetu azam TV
Back
Top Bottom