Search results

  1. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    ... nitakuwa mkosefu wa fadhila nisiposhukuru wadau wote walionipa maoni yao humu! Asanteni sana. In short wakati najiandaa kukuona kama nilivyokuwa nimeahdi kuna jamaa yangu mmoja alinipa wazo kwamba nicheki fuel system inaweza ikawa na matatizo hasa kama gari limekaa muda mrefu ikishindikana...
  2. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Shukrani kwa Mkuu; ushauri utazingitiwa.
  3. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Asante sana Chief. Nitakutafuta over the weekend.
  4. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Kiongozi; inajipunguza na kwenda mdogo mdogo sana hadi naona wa mbele yangu kaniacha kwa mbali ghafla. Sijawahi kuisubiria hadi nione kama itasimama completely ila nahisi nikiiacha itasimama kabisa.
  5. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Shukrani sana kwa ushauri Kiongozi wangu. Nitajaribu kuzingatia ushauri wako.
  6. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Baada ya swali lako nimetoka kufanya hiyo test Mkuu. Yes; nikiweka D au R bila kukanyaga accelerator inatembea na ilikuwa imepaki kama masaa manne yaliyopita. Shukrani sana Kiongozi for your time.
  7. M

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Mabingwa Salama? Naombeni msaada wataalamu; nina Rav4 "mpya" (Kili Time ya 2005 ODO reading 63K) inakaribia miezi miwili tangu niitie mkononi kutoka Japan. Ni 4WD; haina gear ya 4WD ila naambiwa ni auto-sense, full-time 4WD. Hii gari ina matatizo mawili makubwa. Kwanza, accelerator ni nzito...
  8. M

    Barua ya Wazi kwa Serikali: Suala hili ni zito Kura ya Maoni ndio ufumbuzi

    Unamsemea nani kaka? Hiyo big no itasemwa na watanzania na njia bora zaidi ya kusema ni through kura ya maoni; sio Bungeni kwa sababu pale hata hao wabunge wana interests zao kiimani na pia idadi ya wabunge sio sample ya kutosha kuamua jambo hili. Kumbuka wewe ni mtanzania ila sio watanzania...
  9. M

    Barua ya Wazi kwa Serikali: Suala hili ni zito Kura ya Maoni ndio ufumbuzi

    Mh. Waziri Mkuu, Salaam. Mh, naandika barua hii nikiwa na hofu; wakati mwingine nikijiuliza yamekuwaje mambo haya? Na ni nini hatima yake? Sipati jibu. UTANGULIZI Mh, kwa heshima na taadhima, naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada kuu ya ujumbe huu - Mahakama ya Kadhi; suala ambalo lina...
  10. M

    Werema chupuchupu kutuingiza kwenye mzozo wa kidini

    Those are the best examples you can always provide. Na pale Somalia? Ni maaskofu! Na pale Mali? Ni wachungaji! Na pale Darfur? Ni Wakatoliki! Na kule Afghanistan? Sio Taliban ni KKKT walifanya hayo! Na kule Kashmir? Ni Wapentekoste wanamaliza watu pale na kujitoa mhanga kila uchao! Na pale, na...
  11. M

    Mbunge wa Arumeru Mashariki mh. Joshua Nasari ahamasisha wananchi kugomea Mwenge wa Uhuru

    By the way, hivi huu mwenge upo kisheria? Kwa sheria ipi au namba ngapi na ya mwaka gani? Kama hakuna sheria yoyote basi kuukimbiza (eti kukimbiza ha ha ha ha) ni sawa na uwendawazimu wa mchana kweupe and Nasari is right. Otherwise, kama unalindwa na sheria yoyote, the MP must be careful na...
  12. M

    Tawi la Kagera Mikoroshini lahamia CUF

    Nikikumbuka na yale makontena ya visu waliyowahi kuingiza nchini mwaka 2000 (kama IGP enzi hizo, Omar Mahita, alivyoutangazia ulimwengu) sina hamu na hawa watu. Wanaweza kuchinja kweli ujue?
  13. M

    Matembezi makubwa ya kuchangia CUF kufanyika kesho.

    Mwaka wa ishirini huyu sultani akililia kwenda Ikulu hata haya hana. Angekuwa mwingine angalau ningefikiria lakini huyu au Seif ni BIG NO! Kama ana busara, aachie wengine; wasikigeuze Chama mradi wao. CUF ina watu wengi tu wazuri ambao wanaweza kukiwakilisha chama katika nafasi ya urais wa JMT...
  14. M

    Tundu Lissu hapa ulionesha umakini

    Kwa mapenzi ya Mungu, Singida jiandaeni kutoa Rais wa Tanganyika miaka michache ijayo.
  15. M

    Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

    Mkuu Mushi, asante kwa angalizo. Hata hivyo, kuna issue hapa: huyu jamaa (zomba) hayuko peke yake humu JF bali ni mob au syndicate fulani kwa ajili ya kuchafua hali ya hewa kadiri inavyowezekana. Hivyo, usishangae wakaanzisha thread wenyewe kwa ID tofauti tofauti huku wakiji-pretend pro-Chadema...
  16. M

    CUF irked by isles omission on state visitors itineraries

    Ayaaaaaaaaaaaaaaaaaa tumekwisha! Au nafananisha? si yuko guantanamo huyu? kaachiwa? niwieni radhi kama namfananisha maanake duniani wawili wawili.
  17. M

    Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

    Ndugu umenifurahisha mno. Wakati wanaume wa ukweli kama akina Obama always wanaamini katika ushindi (YES WE CAN) rais wetu anaamini katika kushindwa. Na kwa kuwa imani au maneno huumba hakika si tu kwamba atashindwa bali alishashindwa. Kweli speech yake imemharibia mno. Siamini na haiwezekani...
  18. M

    Mrema yupo habari maelezo

    Watu wengine sijui IQ zao zikoje. Hakuna mahali popote iwe kwa maneno au vitendo CDM wameonesha kwamba lengo lao ni kuiangusha serikali tena ikitokea wakifanya hivyo (au mtu mwingine yeyote) akamatwe mara moja na kushitakiwa. Serikali iliyopo madarakani ipo kihalali tena kwa mujibu wa katiba na...
Back
Top Bottom