Search results

  1. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Okey fine sina la zaidi nimejaribu kukufahamisha ninavyomjua mengine hayo kaa nayo mwenyewe maana sina uwezo wa kukubadilisha kwa hilo unalodhani . All in all mimi namfahamu sana sina shaka na uteuzi wake . Naona rangi inakusumbua sana ndugu lakini kitu unachofanya ni UBAGUZI WA RANGI.
  2. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Ni mtanzania halisi kwao ni Kigoma kwa kumbukumbu zangu aliwahi kwenda India kutibiwa tu na wala sio kwao huyu ni mzalendo halisi . Mimi ni bosi wangu kabisaaaaaaa. Nimefanya nae kazi kwa muda wa miaka mitatu sasa na kabla hajateuliwa kuwa Mkurugenzi kamili alikuwa ni Mkurugenzi Msaidizi katika...
  3. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    kama rangi ya ngozi yake ingekuwa nyeusi ungeuliza anatokea wapi ? Acha ubaguzi wewe !
  4. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Mimi ndio niko hoi kabisa kwa mwendo huu wa kila uteuzi unapofanywa watu mnakimbilia udini basi tumekwisha . Ina maana akiteuliwa muislamu basi ni maneno tu.Ina maana waislamu hawana haki ya kuteuliwa katika hizo nafasi? Ibrahimu Mussa ni mtendaji mzuri tu sisi wengine tunafanya nae kazi mpaka...
  5. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Tuko pamoja kaka maana mimi ni boss wangu kwa muda mrefu ni mtu tofauti na jinsi watu wanavyomfikiria. Hapa ni merits ndio zimembeba na si kingine.
  6. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Mkuu nakushukuru umenisaidia kujibu kuna mtu aliniuliza ana historia gani . Lakini ameanza kazi siku nyingi sana na alihamishiwa Idara ya Utalii kwa umuhimu wake . He is very active man ( Mchapakazi). Sio kama amepachikwa katika hiyo post alipitia nafasi mbalimbali na kabla ya kuwa mkurugenzi...
  7. J

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Ni Mtanzania tena mzalendo ndugu yangu . Ana historia ndefu katika utumishi wa Umma . Kwakweli ni mchapakazi sana. Personally namfahamu sana .
  8. J

    CHADEMA itakufa karibuni kama NCCR mageuzi - Tambwe Hiza

    Tambwe kwa sasa sijui linakula hamira maana kila siku linavimba
  9. J

    RIdhiwani awakandia viongozi CCM..

    Huyu kijana tangu baba yake amekuwa Rais ni tabu tupu . Nashangaa kwa nini kauli zake zinapewa uzito kiasi hicho yet he is nobody !
Back
Top Bottom