Search results

  1. Nanyaro Ephata

    orodha ya vitabu nilivosoma 2023

    Nimekuwa nina desturi ya kushirikisha orodha ya vitabu ninavyosoma kila mwaka. Desturi hii inaonesha juhudi za kushirikisha maarifa, ukuaji wa kiakili, na kuhamasisha utamaduni wa kusoma ndani ya jamii. Kila mwaka, nikusanya mkusanyiko tofauti wa vitabu vinavyojumuisha mada mbalimbali, ikiwa ni...
  2. Nanyaro Ephata

    Joshua Mollel has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his loved ones

    In the face of uncertainty and distress, our hearts go out to Joshua Mollel and his family. Since October 7th, Joshua has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his loved ones. The rumors surrounding his potential demise, coupled with the inability to locate his body...
  3. Nanyaro Ephata

    Ujerumani ilipe fidia kwa uhalifu na fedheha, kuomba radhi haitoshi

    Rais Steinmeier ambaye yuko ziarani nchini Tanzania, amezungumzia kusikitishwa kwake na kile alichokiita fedheha ya uhalifu uliofanywa na Ujerumani wakati ilipokuwa ikiitawala Tanzania, enzi za Ukoloni. Vita vya Majimaji, vilivyotokea kati ya mwaka 1905 na 1907, ilikuwa harakati za upinzani...
  4. Nanyaro Ephata

    Joshua Loitu Kijana wa Kitanzania, hajulikani aliko tangu vita ya Israel na Hamas ianze

    "Ombi la Dharura kwa Joshua Loitu Mollel - Tafadhali Tusaidieni na Tuombe Joshua Loitu Mollel, mwanafunzi mdogo kutoka Morogoro, Tanzania, aliianzisha safari yake kwenda Israel tarehe 18/9/2023, akiendeleza ndoto yake ya kujifunza Kilimo katika Shamba la Nachal Oz Holdings, Chuo cha IBIM...
  5. Nanyaro Ephata

    A Plea for Help and Prayers

    Urgent Appeal for Joshua Loitu Mollel - A Plea for Help and Prayers Joshua Loitu Mollel, a young student from Morogoro, Tanzania, embarked on a journey to Israel on 18/9/2023, pursuing his dream of Agrostudies at Farm En Nachal Oz Holdings, IBIM Campus. He joined the vibrant community of Nahal...
  6. Nanyaro Ephata

    Oil,Power & War

    Jina la kitabu:OIL POWER AND WAR Mwandishi:MATTHIEU AUZANNEAU Mchambuzi: Nanyaro EJ Utangulizi! Mwandishi wa kitabu hiki ambacho kwa undani kitaelezea historia adhimu kabisa ya mambo ya nishati,anaanza kuuliza swali kuwa nini maana ya maendeleo? maendeleo ni nini? Wakati tukijibu swali hili ni...
  7. Nanyaro Ephata

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  8. Nanyaro Ephata

    CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  9. Nanyaro Ephata

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    kwani ni dhambi? acha poverty mentality
  10. Nanyaro Ephata

    Ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu na Namibia dunia haisemi

    Babu zetu walizingua,ilikuwaje wauwawe kama kuku wakati wapo home.? kuna uzembe mahali
  11. Nanyaro Ephata

    Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    Kama hao viumbe wamemsahau mwenzao means ni washamba,na wapumbavu
  12. Nanyaro Ephata

    CCM yaihenyesha CHADEMA Mitaani

    Crap Crap
  13. Nanyaro Ephata

    Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

    Nimecheka sana kwa sauti kama vile ni mazuri.Maarifa yapo kwenye vitabu bosi,kazi yangu sio ya leisure wala silipwi ila vitabu vimenipa maarifa mengi ambayo yananipa pesa.Yes kuna tofauti ya matumizi ya muda ndio maana wengine ni matajiri na wana saa 24 kwa siku! kama wewe
  14. Nanyaro Ephata

    Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

    hapo ndio inaonesha haujawahi kusoma kitabu so ujumbe wa leo ni wako kwa 100%
  15. Nanyaro Ephata

    Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

    Nanyaro EJ Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa na utamaduni wa kushirikisha kwenye majukwaa mbalimbali orodha ya vitabu nilivosoma kwa mwaka husika Lengo kuu ni kuhamasisha usomaji wa vitabu kwa jamii ya Watanzania na Afrika kwa ujumla,ili kuondoa ile dhana potofu kuwa ukitaka kumshinda Mwafrika...
  16. Nanyaro Ephata

    Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Kalamu umeninukuu vibaya tu wadau wa sheria sio kwamba nimewaita wenyewe la hasha! ndio maana bandiko lipo public! Lakini hii ni double starndad ya kiwango cha Dunia
  17. Nanyaro Ephata

    Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
Back
Top Bottom