Search results

  1. K

    Idm inanizingua

    Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili .tafadhali naomba msaada kuhusu hili;natumia idm kudownload movie na video ila siku za hv karibun imekua inanizingua inadownload video ila haitoi sauti naomba msaada ni fanye nn ama km naweza kupata down loader nyngine .natanguliza shukuran.
  2. K

    maumivu ya ajabukwenye mguu .

    nawashukuru kwa ushaur mm sio mwathirika wa virus,na wala sio mwanamke ni mwanaume nina miaka 34 sina uzito wa kutisha kulingana na urefu wangu.asanten.
  3. K

    maumivu ya ajabukwenye mguu .

    jaman wadau wa forum hii naomba msaada wenu,mguu wangu wa kushoto eneo la linalokaribiana na kiuno linauma ndan kwa ndan,hakuna uvimbe wowote sjawahi kuanguka wala kuumia eneo hilo.maumivu nayoskia kama vile kitu kinapekecha mfupa kwa ndan kias kwamba kutembea inakua shida.nmejaribu kujichunguza...
  4. K

    nataabika.

    nawashukuru wote kwa msaada mzuri wa mawazo hakika naendelea vzuri,nilichofanya nimejitahd kubadili tabia yangu ya kula kwa kula mboga na matunda zaidi pia kila sku jion huwa natafuna mbegu km 8 za mlonge na asubuh nakunywa majan yake km chai,pia nmepunguza kunywa maji meng kwa sasa nakunywa...
  5. K

    nataabika.

    jaman naomba msaada wa ushauri kwan niko kwenye wakat mgumu mm n kijana wa miaka 33 nina shida kwenye njia ya haja kubwa napata choo kwa shida yaan naumia sana na mwisho choo kinaambatana na damu nmeuliza watu wameniambia ni haemoroid,ila kwa maelezo niliyopewa n kwamba haina dawa labda ni mpaka...
  6. K

    Dell inspiron 1464

    Chondechonde wadau wa hii forum,natafuta display/ screen /kioo cha laptop yangu dell inspiron 1464 mwenye kujua nakoweza kupata anijulishe tafadhali.kilichopo kimekufa .asanten
  7. K

    Magufuli kiboko: Meneja wa TANROADS akemewa kama mhudumu!

    skatai pale tunaposhindwa kufanya tusemwe ila namna aliyotumia wazir sio.sawa jamaa hakuwa site lakin makufuli hakujua huko aliko anafanya nn pia kumgombeza mtu mwenye akil km zako ama zaid yako ni uzalilishaji mwelekeze kwa upendo atafanya kwa moyo kwan ubabe huzalisha utendaji wa hovyo,kwa...
  8. K

    Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM.....

    Nafikiri hili jamvi ni la watu makini na twapaswa kujadili hoja na sio watu;tumepewa taarifa kuwa makonda ndie rais wa TAHILISO humpend sawa hutabadili hilo,na sioni ukilaza wa MUCCOBS kwan nanyi wengine si mlipeleka wawakilishi ambao nao waligombea nafas husika?km ndivyo vilaza mwaweza kuwa...
  9. K

    Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

    Nafikiri Mtatiro amejaribu kueleza namna chopa ilivyopatikana nasi twapaswa kuyapima aliyoyasema kama yana ukweli ama laa, hajaongelea CHADEMA wala CCM. Ili tusitoke kwenye mada tulizungumze hilo, mambo ya udini, ukabila nk yangewekwa kwenye independent post. Kama ndugu Mtatiro huo ndio...
  10. K

    Hii elimu yetu vp?

    jaman mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari ,nashangazwa na huu utaratibu wa wanafunzi wa kidato cha nne kufanya mitihani ya vitendo[practical] wakati shule huska hazina maabara .kinachofanyika ni kwamba walimu wa masomo ya sayansi wanawafanyisha wanafunzi practical miezi ya mwisho...
  11. K

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    inamana mwl kuondoka kaondoka na wa2 makini wanaotoa mawazo makini ktk muda muafaka!kilicha baki kutaftana uchawi,nani kasema nini!iwaje chombo makini kama bunge kujadili isu ya jairo kwa ku2mia habari ziczofanyiwa research?kwanini 2camini wote mnavicHwA vya panzi?
  12. K

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    eneo ilipotokea ajal panafahamika km kbosho road liko nje kidogo ya manispa ya moshi ,ajal imehusisha fuso mbili moja ya abria(lim bus)na hiyo nyngne ni ya mizigo ilikua imepakia nyanya inasemekana fuso ya mzgo ilikua inatoka wilaya yaa hai kwenda moshi mjin kwa vile eneo lenyewe lina mteremko...
  13. K

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    ndg zangu basi la sumry limepata ajali mbaya eneo la same ,bas limegawanyika vpande viwil.
  14. K

    kupanda bei ya mafuta ya taa

    serekali kuweka tozo ktk mafuta ya taa ni kutowajali kabisa wanyonge ambao ni wengi.hivi jast imagine bei ya sukari weka mafuta ya taa kipato 500 vijijini watamudu hii gharama?au waendele kuwasha vinyesi?kwanini uthibit wa uchakachuaji ucbuniwe mbinu nyingine kuliko bei ya mafuta ya taa?
  15. K

    kongamano la muccobs

    kiuandaj lilikua limeandaliwa vzur ila sdhan km yaletuliotazamia kupata tumeyapata,waheshmiwa walioalikwa hakuonyesha dalil za kutak kutueleza tumejikwaa wap na tufanye nn kujinasua na tatzo linalotusumbua la umaskin.ni kwel kongamano halikua la kisiasa ila kwa muktadha wa maada huska siasa...
  16. K

    Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani!

    Kongamano linaendelea ila kwa mtizamo wangu akina sita na mwkyembe wamefungwa gavana wanajarbu kuitetea serkali kjanja.ila mkufunz wetu hapa anaeitwa mangasin amejtahd kueleza kwa ufasaha kwa nn tu maskin japo tuna raslimal za kutosha.km six ndo anajtahd kukitetea ccm kwan wanafunz na...
  17. K

    Wabunge na Mawaziri kufundisha vyuoni: Hii imekaaje?

    Kwa mtazamo wangu ni jambo zuri kwa hawa waheshimiwa kufundisha ila napata ukakas kwenye mambo matatu makubwa 1.isije ikawa ni mbinu ya kuuzuia huu moto wa demokrasia ambao kwa kias kikubwa umechochewa na chadema kwa kutumia wasomi wa vyuo 2.kujiongezea ama kujilimbikizia sources za...
Back
Top Bottom