Search results

  1. Masaki

    Fursa za kibiashara zipatikanazo Comoro

    Mpaka sasa hiyo ndio nauli ya ndege...ni ghali sana...Kama unaenda Dubai vile. Ila kwa kuwa unaenda kutafuta business connections, basi si vibaya ukafumba macho na kwenda kuangalia fursa hizo.
  2. Masaki

    Kwanini Watanzania wengi hawajui/hawafanyi Biashara za Exportation kwenye mazao ya Kilimo?

    Will get in touch. I have just started greenhouse farming for vegetables.
  3. Masaki

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Wewe nimekusoma sana leooo. Kama nimeanza kukuelewa hivi. yaani nimeanza kukuelewa. Nakuja inbox, maana tayari ninafanya kilimo-biashara.
  4. Masaki

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Sio kweli. Angalia smartphones leo hii tunazitumia. Teknolojia haina mipaka.
  5. Masaki

    Wale wa Milambo High School njoo hapa

    Inaa maana baadaye Milambo ilikuwa mchanganyiko na wasichana?
  6. Masaki

    Wale wa Milambo High School njoo hapa

    Tangu nimemaliza Milambo miaka zaidi ya 20 iliyopita sijabahatika kuitembelea tena shule yangu. Ila iko damuni. Ndiyo iliyonitengeneza nikawa hivi nilivyo leo. Shule ya WANAUME...!!!
  7. Masaki

    Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

    Barabara, mifumo ya maji safi, maji taka na drainage systems, parking spaces, street lights, pedestrian walkways, umeme wa uhakika, mipango Mimi ndio matatizo ya msingi. Maghorofa ya CBD watu wanayakimbia, ndio maana maeneo Kama Victoria, Masaki na Mwenge yana mvuto zaidi kibiashara kwa real...
  8. Masaki

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    The bold umetisha sana. Sikuwa hata najua kwamba Pablo Escobar alishakufa. Nilikuwa nafahamu juu juu tu kuhusu huyu mtu. Je story ya Carlos THE JACKAL unayo?
  9. Masaki

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    TRUMP akachukua nchi aiseee. Kama utani utani vile!
  10. Masaki

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    . Achana naye! Yaani hawa ndio wanasababisha mpaka sheria zinatungwa kali kupita maelezo. Mtu aandika utumbo wa kushtusha kiasi hiki. Hao anaowataja sasa hivi wako Ikulu wanakula bata.
  11. Masaki

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    Huu sasa ndio uchochezi. Acha tu huo muswada wa habari upitishwe ili kukomesha watu wa aina yako. Maana kichwa chako cha habari na maelezo yako ndani ni tofauti kabisa. Mtanyooka tu! It is just a matter of time!
  12. Masaki

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    CHADEMA waliopinga wakubwa wametumbuliwa, sembuse CCM? Angempinga Rais wake?. Unaongea kama hujui nchi hii anayeshika kwenye mpini ndiye mwenye maamuzi ya mwisho!
  13. Masaki

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Subirini listi ya wanasiasa waliokopa mpaka benko ya Twiga Bancorp ikafilisika. Ndipo mtajua maharage sio mboga, bali ni kiungo cha makande!
  14. Masaki

    Magufuli hakuna cha katiba mpya ndani ya miaka 4 ya kujidai

    Bora wewe umeemelewa alichosema. Maana watu wana tabia ya kupotosha. Kasema kwenye kampeni zake, hakuwahi kabisa kuzungumzia katiba mpya. Aacha anyooshe nchi kwanza, kisha hayo menginey yatafutaata baadaye.
  15. Masaki

    Magufuli hakuna cha katiba mpya ndani ya miaka 4 ya kujidai

    Mfano ungekuwa wewe upo pale mkutanoni, nini kingekuwa ni critical question yako?
  16. Masaki

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Kunywa maji ukalale!
  17. Masaki

    Mke anashindana kila kitu na mimi!

    Una umri gani kaka? Na unapozungumzia mke, una maanisha mke wa ndoa au mwanamke tu mnaishi nyumba moja ili kupunguza makali ya maisha hasa kodi ya nyumba? Maana sikuelewi ujue! oooops! Ngoja nisubiri jibu kuhusu umri!
  18. Masaki

    Fossilized Jaw in Tanzania is the Oldest Evidence of a Right Handed Homo Habilis

    Wanasema binadamu wenye akili nyingi walikuwa wadadisi. Wakatoka hapo Oldupai Gorge na kuanza kuelekea sehemu mbali mbali Duniani, hasa Mashariki ya Kati na Ulaya. Wale ambao hawakuwa wadadisi wakabaki (INASEMEKANA LAKINI)............Ndipo baada ya miaka milioni na ushee wakabadilika na kuwa na...
  19. Masaki

    NECTA pitieni vyeti vya watumishi sekta binafsi

    Kwanza sekta binafsi kinachoangaliwa ni ufanisi katika kazi, na sio vyeti. Unaweza kuwa na Masters lakini bosi wako akawa na Bachelors Degree tu. Mfumo wa sekta binafsi ni rafiki zaidi, hauangalii sana vyeti bali umahiri na ufaninisi katika utendaji kazini! Tunawashauri serikali nao waige...
Back
Top Bottom