Search results

  1. annarosemary

    House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

    Asante,nitawasiliana nawe
  2. annarosemary

    House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

    Nyumba ya kupanga inahitajika. Iwe maeneo karibu na chuo cha UDOM,vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,public toilet ya ndani na jiko. Na iwe na imezungushiwa ukuta na kuwa na nafasi ndani yakuhifadhi Gari. Pia umeme, Maji,usalama na majiran ziwepo.
  3. annarosemary

    Pesa: Kuandika Katiba ya NGO

    Habari naomba nitumie hiyo sample kwa e-mail annagik04@yahoo.com. asante
  4. annarosemary

    Nimepata scholarship UK ila napaswa kufanya mtihani wa IELTS

    Hongera Pitia website ya British council itakupa mwongozo mzuri kuhusu huduma hiyo ya mitihani,test centres,mafunzo na gharama. Pia waweza fika office zao Dar es Salaam... Google map itakuonesha zilipo kwa maelezo zaidi.
  5. annarosemary

    Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

    Neno litasimama neno litasimama mambo yote yatapita ila neno litasimama...
  6. annarosemary

    Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

    Mfupi mfupi ,Zakayo mfupi mfupi tu Yeye alipata juu ya mti ili amwone Yesu,Yesu alipofika pale akatazama juu akasema!Zakayo shuka chini,nitakuja kwako Leo...
  7. annarosemary

    Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

    Ndani ya safina ndani ya safina na watoto wote abhee ndani ya safina wote tuingie...
  8. annarosemary

    Kwa wanaohitaji nyumba, kuuza nyumba au kupanga Nyumba tukutane hapa

    Natafuta Nyumba ya kupanga iwe ina room 2 au 3 za kulala,sebule,jiko na kuwa na nafasi nje ya car parking na iwe na uzio. Ikiwa inajitegemea kwa bili ya umeme na maji itakuwa nzuri zaidi. Iwe karibu na barabara kuu ya kuelekea morogoro. Maeneo yawe kimara mwisho,mbezi(ya kimara).
  9. annarosemary

    Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Hongera sana. Je, gharama za machine zikoje?
  10. annarosemary

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Napata nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili,sebule,jiko na choo cha ndani kwa maeneo ya kuanzia kimara hadi Kibaha au maeneo ya mtoni kijichi .yawe karibu na Barabara,umeme,maji na iwe imezungushiwa ukuta
  11. annarosemary

    Kupaka rangi gari

    Habari Kuna gari linahitaji kuingia ubia wa kupakwa rangi gari kwa ajili ya matangazo ya biashara kutoka kwenye kampuni Tanzania kwa mwaka
  12. annarosemary

    Biashara ya korosho

    Habari Natafuta sehemu ambapo nitanunua korosho kwa bei ya jumla hapa Tanzania
Back
Top Bottom