Search results

  1. Makenya

    Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

    Kila wakati anahutubia wazee dar,kuna vijana wa dar pia wanashauku ya kumsikiliza.
  2. Makenya

    Yaliyojiri sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru: Jumanne, Tarehe 9 Desemba, 2014

    Nilitumaini kwamba atatoa hotuba leo, natamani kusikia toka kwa rais
  3. Makenya

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Siasa za 2015, tukiziingiza kwenye elimu, tunatengeneza, tutatengeneza tatizo jingine, kabisa.
  4. Makenya

    Mademu wa Mjini Lazima Uwavulie Kofia cheki na hii!!!

    Duuh! Hii kali, yaan nimeishia kucheka! Mjini pesa ndio mpango mzima
  5. Makenya

    Vijana wa BSS vs Mastaa wa Fiesta

    Wana JF hawa vijana wa BSS, wanaimba live vizuri sana, na sauti zao zinatoka vizuri, kuliko wale Mastaa wa Fiesta, wanaombia kwa kutumia playback.
  6. Makenya

    Naweza pata free pages kwa ajili ya kudownload picha za ukutani

    Thanx kaka ishengoma ngojea niichek basi
  7. Makenya

    Free Pages za kudownload picha za ukutani

    Ni kama zile za kushorwa, au watu maarufu duniani, ssa unaweza kuzidownload then ukazitengenezea fremu, ukaziweka ukutani mkubwa
  8. Makenya

    Naweza pata free pages kwa ajili ya kudownload picha za ukutani

    Wana JF kuna mtu anajua links za free download picha za ukutani coz nyingi ni za kulipia wakubwa, nitashukuru mkinisaidia wana JF
  9. Makenya

    Free Pages za kudownload picha za ukutani

    Wana JF nauliza kuna mtu anazijua free pages kwenye mtandao naweza download picha za ukutani, nimejaribu kuperuzi nyingi ni za kulipia wakubwa
  10. Makenya

    Jamani jf

    Daah! Yaan hta mm nilikosa raha, kumbe addiction inakua namna hii,ndo maana hta wale wala unga ni ngumu kuacha isee.
  11. Makenya

    Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

    Jamani vijana, tujiunge kwenye vikundi tufanye ujasiriamali, hzi ajira tutatafutana ubaya
  12. Makenya

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Daaah! Kumbe uwaziri dili namna hii, nitaenda kumuomba JK, aniteue walau mwezi 1 tu.
  13. Makenya

    kukodisha Restaurant dar

    Ndugu mm nina sehemu nataka nifungue restaurant ssa its good kama rukikutana, nione hivyo vitu mkubwa my no 0655 747445
  14. Makenya

    Natafuta gas range yenye 4 burner used

    Wana JF, natafuta jiko la gas, 4 burner heavy duty, kwa ajili ya restaurant, liwe used, naweza pata wapi?
  15. Makenya

    Pendekezo: Katibu wa Bunge ajiuzulu kwa kupotosha taifa

    Una hoja kaka, hii ni aibu sana, ajiuzulu hyu mzee
  16. Makenya

    Jerry Muro usipokee Tuzo ya Mwandishi Bora 2009

    Ni wazo zuri.. kma watu ni wanafki una achana nao
  17. Makenya

    Lowassa tunakusubiri utuambie ukweli unaokufa nao moyoni

    Hata mm binafsi nimeanza kujua chanzo cha richmond n nn! Time will tell
  18. Makenya

    Moto Mkapa towers

    Daah hii ni hatari sana
  19. Makenya

    Leseni ya makazi na mkopo

    Wana jf naomba kuuliza kuna benk au taasisi ya fedha ambayo wanazikubali hizi leseni,ili uweze pata mkopo.
Back
Top Bottom