Search results

  1. K

    CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    Kila mtu anayohaki ya kuwa mwanasiasa: mwl, medical doc., prof., mkulima, nurse, dereva, lawyer, barmaid, housegirl,etc. siasa ni ushawishi wa kuwaunganisha watu pamoja ili kufanikisha jambo fulani lililokusudiwa. kiufupi siasa ni kuongoza! na isitoshe katiba tulionayo sasa inatamka kuwa: kila...
  2. K

    CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!

    Kila chama kina Mwanzo wake hata Tanu ilipoanza haikuwa na kila nyanja kumekamilika ila kwa sababu walikuwa na itikadi na mwelekeo unaofanana bila unafiki na kusimamia kile walichoakiamini walifanya makubwa kuliko hata leo ambapo kuna wasomi wengi na tena wenye ujuzi. kwa hivyo basi hata chadema...
  3. K

    CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

    Kwa taarifa yako Zito si mpiganaji kwa jinsi mnavyodhani wengi wenu, ni opportunistic man tupo hapa siku moja utakuja niambia
  4. K

    Kwanini Mwalimu Nyerere aling'oa reli ya Dar-Lindi, Mtwara, Nachingwea?

    Waulize wanaotaka kumfanya mtakatifu ni imani yao hainihusu mimi na wewe. na isizoeleke kuwa wakristo wote ni wakatolic. Nyerere wakimfanya kuwa mtakatifu haimaanishi ni mtakatifu kwa kila watu wa dini zingine.
  5. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Kila dini au dhehebu huwa lina jinsi lilivyochimbuka, ile misingi ya kuanzishwa kwake na jinsi lilivyopata kujieneza kutoka mahali fulani hadi mahali fulani. Na dini zote ambazo zimekuwa zikionekana kuwa ni bora na zinaweza kufanya chochote kile au kushawishi kwa jinsi yoyote ile huwa chimbuko...
  6. K

    Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam

    Nashangaa kuona michango mingi hutolewa inapopostiwa issue ya udini kama hii isiyo na mashiko. wengine hutoa hata matusi wakidai eti wanaongea ishu za God. ni bora mkaacha na mwendeleze uchafu mliouzoea wa dunia hii. wote mnaoshabikia ugaidi, uaskofurism, alqaeda, etc wote mnasubiri adhabu ya...
  7. K

    Flora Mbasha na Edward Lowassa

    Hata kama wakitoa sadaka kiasi gani haimaanishi kuwa ndiyo wako sawa. Napenda pia kuwambia wana JF kuwa wengi hufunika maovu yao kwa kujifanya kuwa ukitoa sadaka ndiyo wametenda vyema kwa Mungu.
  8. K

    Sheikh Mohamed; Sio 'wivu' wa kidini, ni fedha zetu, only

    Watu wengi wamefunikwa wasijue unabii wa siku za mwisho, hizo akina mahakama za Kadhi na mengineyo yanayotokea Duniani wala siyo ya Mungu tunaedaikuwa tunamwabudu. Na katika Dunia hii mwanadamu hujitahidi kuweka usawa au haki lakini hawezi kuipata haki ambayo Mungu angetupatia yeye, kiufupi...
  9. K

    Wanajikosha ili tuwaone kuwa hata wao wanachukia ufusadi

    Habari zenu wanaJF, jana nilishtushwa baada ya kuona taarifa ya kuwa UVCCM eti na wao wanatoa tamko kuhusu sakata la Dowans. Cha ajabu zaidi ikawa si Dowans pekee bali hata Bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu mara hata Maaskofu na Mashehe, wanashangaza zaidi kwa kusema hivi hata hivi "...
Back
Top Bottom