Search results

  1. C

    Huu ndio ukweli haswa kuhusu Makonda, tuache upotoshaji

    Wewe una ukweli wako na sisi tunao ukweli wetu.Cha msingi akubali tu matokeo
  2. C

    Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Hana lolote.Njaa tu yeye na hao anaowaongoza.Bado kumtoa nyaa mkulu. Wkt wa bunge la katiba alituonyesha ni mtu tofauti lkn picha yake halisi ni hii ya Sasa.
  3. C

    Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Acha atangazwe kwa ushindi mwembamba ili hata anapoongea ajue kabisa hatumfagilii Wala nini
  4. C

    Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Sitampa kwa sababu kuu 2. 1.Anaminya demokrasia 2.Ameua Uhuru wa vyombo vya hbr
  5. C

    Wako wapi wanasiasa wanaotuaminisha korona bado ipo Dar?

    Mwenye masikio na asikie,mtu na familia yake Basi.
  6. C

    Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

    Ndo ashaitia hivyo......Na wenyewe washasema pale ni jalalani....
  7. C

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli atakavyowageuka CCM, Ndugai hatarudi, nawaambia mnielewe!

    Kama Ndugai harudi,utakuwa uamuzi wa busara mno kuwahi kufanyika.
  8. C

    Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

    Wewe pia ni msaka tonge!Njaa mbaya Sana,unaweza kuuza utu wako kwa mambo yasiyo na maana na kutoa sifa za kijinga ili uendelee kula.
  9. C

    Wanawake 'single mothers' msikubali kujitwisha mzigo wa malezi wenyewe hata kama mnajiweza

    Ni kweli,wanawake msiwe na dharau hata kama una kipato kumzidi mwanaume.Leeni kwa ushirikiano hata a kama kuna tofauti kati yenu. Ingawa siku hizi kuna akina single mothers in marriage wengi kuliko inavyodhaniwa.Mwanaume hajigusi.Unakuta mama anahangaika na biashara ndogo ndogo ,upatu,vikoba...
  10. C

    Masomo ya Certified Fraud Examiner

    Naomba na mimi namba ya coordinator wa haya masomo .Nataka nijiupgrade
  11. C

    Pendezesha chumba

    Na je kam anataka mapazia tu??Unapatinaka wapi??
  12. C

    Vipele kwa mtoto

    Nipo mkoa wenye baridi ingawa.Kutompaka kabisa mafuta ngozi itababuka.Ngoja nijipange kumwona daktari ingawa kwa wilayani huku kumpata daktari wa watoto ni changamoto kiasi.
  13. C

    Vipele kwa mtoto

    Aisee na mimi nitanufaika na jibu la swali lako.Mimi pia mtoto wangu katokewa vipele kama hivyo tangu ana mwezi mmoja.Nimejaribu lubadilisha sabuni na mafuta(kutoka kodrai na mafuta ya nazi kwenda deto junior na olive oil) lakini bado vinaendelea.Ni usoni na nyuma ya kichwa.Lakini havimuwashi.
  14. C

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Hii ni product ya forever living au inapatikana kwenye maduka ya madawa?Nina mtoto wa miezi miwili na nusu,nataka nikianza kazi niwe nakamua maziwa ya kunywa nikiwa sipo.Na mimi sina maziwa mengi.Hii inaweza kunisaidia.
  15. C

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Anateuliwa katika zile nafasi kumi alizo nazo rais.Kama tulivyofanya kwa Prof Muhongo na Mbatia kipindi cha mkwere.....
  16. C

    Neurosurgeon anapatikana wapi?

    Nenda Mhimbili National Hospital-Muone.Dr Innocent Rwegasha.Ni mtaalam sana.Mara nyingi yupo ward ya mwaisela ila tafuta siku ya clinic yake amuone hapo.
  17. C

    Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

    Waachae wachague kazi.Siku hizi kuna ndoa za jinsia moja.Wasubiri waolewe na wanaume wenzao ndo wataosha vyombo na kudeki.Halafu vitu vingine,unafanya kwa upendo tu.Siyo kwa kuwa umeoa basi hata ma..ko uoshwe.Khaaa
  18. C

    Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    .......the only man.....mmmmh.Sijaelewa hapo.
  19. C

    Blood groups vs Mimba

    Habari! Naomba kusaidiwa/kufafanuliwa juu ya hili. Mimi blood group yangu ni B positive na mume wangu ni O negative.Nimepata miscarriage mara 2.Je kuna uwezekano blood groups ikawa ni sababu ya kuharibika kwa mimba hizo.
Back
Top Bottom