Search results

  1. M

    Uganda wamtamani dr. Magufuli

    Every human has weakness, and Mr magufuli his not an Angel but in comparison with others east African leaders, this man have done a lot for our country. Much respect to him.
  2. M

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Baba yangu mzaz ananiambia wakati anaajiriwa kwa Mara ya kwanza mwaka 1972 Ilikuwa analipwa sh 500 na mshahara wake wa kwanza wa mwezi ulimwezesha kununua fenicha zote za ndani na kubaki na akiba kidogo. Mimi kwa sasa nalipwa kwenye secta binafsi mshahara ambao ni zaidi ya million na siwez...
  3. M

    Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    Much respect to you mtoi!! Mimi nimekuelewa.
  4. M

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Kijana atakuwa ka panic! Bado haamini kama kweli anafukuzwa.
  5. M

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    if you want to know how to lobby mr zk go and ask mr nimrod mkono he will tell you the story.
  6. M

    Udini ni mtaji wa CCM kuendelea kushika dola...!

    well said mkuu, hii kitu itakuja kuleta shida sana mbele ya safari
  7. M

    Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

    nijuavyo mimi jambo leo ni gazeti la watu wa ccm
  8. M

    Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

    nijuavyo mimi jambo leo ni gazeti ni gazeti la watu wa ccm
  9. M

    Nasari jiandae kutukanwa na makinda!

    mh nasari usisahau kushonesha suti kwa ajili ya mjengoni na usisahau kwamba kama utatoa hoja ya maana ya kuwachoma magamba utapigwa na mwongozo wa spika.
  10. M

    kali

    we jamaa wa magamba nakuhakikishia kabla jogoo hajawika utakuwa umeshakimbia humu ndani.
  11. M

    CCM yashinda Lagangabilili

    point taken! nadhani uchaguzi tujongee pande hizo tukampumzishe huyo mzee.
  12. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    twende kazi! safari hii magamba watalala na viatu.
  13. M

    Polisi waongezwa usiku huu Arumeru Mashariki kushinikiza Siyoi kutangazwa?

    mpaka napata hofu! hawa majamaa lini watakubali kushindwa kwa roho safi tu?
  14. M

    Shambulio la wabunge na TBC1 reporting

    nadhani wananchi watakapoanza kulipa kisasi ndio watapata cha kuandika!
  15. M

    Apigwa shoti hadi kufa akijaribu kuiba mafuta ya transfoma Bugando

    mtu mmoja asiyejulikana ameungua vibaya na kuwa mweusi kama mkaa alipokuwa akijaribu kuiba mafuta ya transfoma tanesco na polisi tayari wameshafika. picha baadae.
  16. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    nchini marekani hakuna uchaguz mdogo, kinachofanyika ni replacement kutoka kwenye chama kinachoshikilia ile nafasi, kwenye inshu ya rais akifa ama kujiuzuru, makamu rais anachukua madaraka mpaka uchaguz mwingine
  17. M

    Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

    abdulhalim! nimekukubali sana mkuu una comment zenye akili na nimezipenda.
Back
Top Bottom