Search results

  1. I

    Inasikitisha Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Kqmq ni kweli feisal toto alikuwa na haki ya kususa ni upumbavu
  2. I

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kama wanahangaika na hezbollah kwa miaka zaidi ya 70 atamuweza iran??? Be serious my friend hujaona raisi wa israel kajishusha kasema walishambulia nyumba jirani na ubalozi wa iran na sio ubalozi wa iran, mambo siyo rahisi kama unavyoona kwenye movie
  3. I

    Netanyahu asitisha mpango wa kulipiza kisasi kwa Iran baada ya kukosa sapoti ya Marekani

    BAada ya kukosa support ya dunia israel jana kupitia raisi wao wamebadilisha story na kusema walipiga jengo jirani na ubalozi wa iran na siyo ubalozi wa iran Duniani huwezi kuishi peke yako tunategemeana anahitaji support ya marekani na ulaya ambao wote wanamuona kama mtoto waliomdekeza sana na...
  4. I

    Baada kusumbuliwa na Hamas kwa miaka 1400, India yasema sasa ni zamu ya Israel

    Hizo story za vijiweni ila unaujua ukweli, nimekwambia nenda kwenye nchi ya kiislamu na pombe au nenda kafanye ushoga wenu kama mnavyohimizwa na wazungu wenu akiwemo papa muone kitakachowapata Na nikakupa mfano mmoja tu qatar world cup hao wazungu wenu walitoa shinikizo kuhusu hayo mambo yenu...
  5. I

    Iran yafanya kosa kubwa kuishambulia Israel. Israel hawanaga shoo ndogo

    Unajua kama leo raisi wa israel kabadili gia angani anasema alipiga jengo jirani na ubalozi wa iran unajua maana yake? unadhani amekurupuka?
  6. I

    Iran yafanya kosa kubwa kuishambulia Israel. Israel hawanaga shoo ndogo

    Mabingwa wa ujasusi walioshindwa kuwaokoa mateka kwenye kieneo kidogo kama cha gaza embu kakojoe ukalale unaongea pumba
  7. I

    Kwa hiyo tunasemaje, majemedari wa Iran wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti wa Israel

    Wameshaanza kujikataa huku kama hawakupiga ubalozi wa iran, hawa jamaa ni waongo waongo tu , kama hawaogopi mbona wanakanusha kama sio wao walioanzisha uchokozi watulie sasa, wamewaweka waisraeli wote kwenye risk hadi israel kwenyewe kwa ujinga wa netanyahu tu ambae so far kashindwa kila kitu...
  8. I

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Nimekuuliza wewe uingereza na ulaya imeanza kuitawala dunia lini na hao wayahudi wako lini walikuwa super power? Wakati wanachinjwa kama kuku na hitler ulaya na marekani walikuwa bado wababe, na walichofanya ni kuplay victim card ndio inawabeba hadi leo pamoja na wao wana manufaa yao ila ulaya...
  9. I

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Waingereza waliweza kuitawala dunia karne na karne unaongea nini dogo, hujui marekani alianza balaa lini? Hawa waisrael waluomba hifadhi na wakapewa guarantees ulaya na marekani thats it hawana maajabu mkuu
  10. I

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Unadhani kwa yanayoendelea nchi hii mlima utaacha kuanguka
  11. I

    Baada kusumbuliwa na Hamas kwa miaka 1400, India yasema sasa ni zamu ya Israel

    Mkuu JAribu kwenda nchi yoyote ya kiislamu na pombe zako au peleka mambo yenu ya ugay uone kitakachokupata ,wewe waulize hao makafir wenzako walivyotaka kupeleka upuuzi wao qatar world cup nini kilichowakuta wala tusiandikie mate
  12. I

    Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Mimi sidhani kama tatizo ni hao , haya madudu yanayotokea halmshauri ni ya kutisha na hatuoni hatua ikichukuliwa hilo ndio linalovunja moyo Imagine jana mfanyabiashara arusha anamwbia makonda kalipa 21m serikalini ikaingizwa 3m tu , sasa hapo ni arusha tu vipi nchi nzima hali iko vipi? Na...
  13. I

    Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    bora ccm hao chadema kuna muadilifu pale unavyoona ? Genge la wahuni tu , bora ccm kuna mambo wakirekebisha watakuwa sawa, magu alithubutu kwa kweli ingawa alichokosea alipitiliza hadi kubana wafanya biashara, ilitakiwa abane watumishi wa uma tu wafanyabiashara awaache wajiachie yeye ale kodi tu
  14. I

    Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Yani tatizo lipo hapo
  15. I

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Huna hata akili hata hujui iron dome israel kaitoa wapi unabwabwaja tu akili za taifa teule
  16. I

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    Ila aise haya mambo ni mazito kwa kweli na inasikitisha sana kama kwenye nchi yetu tumefikia huko
  17. I

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Nani aliyokwambia tatizo una akili za kitumwa, ni walibebwa wakati wakihangaika pa kwenda wakaingia mikataba ya kulindwa ambayo hadi leo wanaiheshimu marekani na ulaya walikuwa wababe wa dunia kwa karne na karne na huu ni muendelezo tu
  18. I

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Jana waisrael wamejazana airport wanaikimbia nchi yao ya ahadi
Back
Top Bottom