Search results

  1. N

    Mbuzi ni mbuzi, hawezi kuwa simba

    Nimegundua kuna Watanzania hawajapata nafasi ya kuiona ile movie ya Darwin Nightmare, ipo kwenye mtandao, ni full movie, inaujumbe mkali sana kwetu sote. Link hii hapa ; YouTube - Darwins Alptraum / darwin's nightmare (full)
  2. N

    Ccm prove failure

    Hapo hata shetani anashangaa kwa uongo uliopitiliza namna hiyo, Mwalimu aliiacha nchi masikini???, haiingii akilini hata kidogo..Rasilimali (Madini, Misitu na sasa wanavuna baharini c.f kesi ya samaki wa magufuli) alizoziacha leo zipo?Viwanda hata cha urafiki leo kinafanya kazi gani?kiwango cha...
  3. N

    Tunakwenda wapi watanzania?

    "Blaza" hapa nashauri tusihusishe jina la Mungu, ogopa, uzembe na upungufu wa imani ya mwanadamu ni kazi ya shetani na malaika wake. Kama yeye kafeli mtihani huu unafikiri aliowapa madaraka watafaulu?
  4. N

    Tunakwenda wapi watanzania?

    Ni mpaka kitokee kitu gani ndio bendera hupepea nusu mlingoti? Mengi yameshatokea kama Milipuko , ajali kwenye usafiri, moto na hata kinachoitwa vurugu za kisiasa (c:f Arusha, Mbeya na kwengineko kama Mara) ambazo kuna idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha na wengine viungo vya mwili...
  5. N

    CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

    Kilichomuweka madarakani ni ili kuleta maendeleo ya Mtanzania sio kuzaa, kumbe ile program ya NYOTA YA KIJANI ni kwa ambao sio marijali?Tunataka kuona nchi inasonga mbele kimaendeleo sio kuona mambo tofauti ebooo!:frusty:
  6. N

    Vidoe Clips za Matukio ya Arusha

    hehe, usijali kaka, itakuwa umeingia kwenye orodha ya wapigania haki za mtanzania, we tuwekee hapa hiyo kitu nadhani kila mmoja wetu anamunkali ya kujua ishu nzima ilivyokuwa, pengine hata ile idadi ya waliouawa tukajua ilichakachuliwa!:frusty:
  7. N

    CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

    Mara nyingi CV za wabongo zinapambwa kwa maneno makubwaaa, lakini jamani CV ni maandishi tu, ambayo humuelezea mtu, lakini hayaelezi ufanisi wake katika hayo anayojisifia hapo anayo. Mfano, hiyo leadership skill ifanyekazi sasa, Kuna masuala mengi yuko kimya kama vile hasikii vilio vya...
  8. N

    CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

    Mara nyingi CV za wabongo zinapambwa kwa maneno makubwaaa, lakini jamani CV ni maandishi tu, ambayo humuelezea mtu, lakini hayaelezi ufanisi wake katika hayo anayojisifia hapo anayo. Mfano, hiyo leadership skill ifanyekazi sasa, Kuna masuala mengi yuko kimya kama vile hasikii vilio vya...
Back
Top Bottom