Search results

  1. Malunkwi

    Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Unaposema elimu kuunga unga na JK ukamuweka humo halafu wengine ukasema straight to University sijui ulimaanisha nini?! Maana Hata John hakwenda university direct. Alimaliza Diploma 1982 then akaenda kufundisha sekondari baadaye akajiendeleza na kupata Degree 1988 na baadaye masters na Phd
  2. Malunkwi

    Tungekopa Ndege (Boeing, Airbus) tungefaidikaje?

    Kutenga Bajeti na kuitekeleza ni vitu tofauti, Kasome utekelezaji wake ni kweli kuwa kuna Ongezeko kubwa la bajeti ila ukienda kwenye performance hadi mwaka unakwisha bajeti imetekelezwa kwa 61% tu. Fuatilia ripoti za Kamati za Bunge utaelewa ninachokisema
  3. Malunkwi

    Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

    Hiyo Ni Uhamiaji Tanzania mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Malunkwi

    Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

    Wangepanda hata Bombardier
  5. Malunkwi

    Dar inawapotezea watu muda

    Hata mimi pia sikumuelewa hapo
  6. Malunkwi

    Gym ya Mazoezi maeneo ya Kibamba Dsm

    Popote kuanzia Shule, Chama, Kwa Mangi Hospitali, Luguruni nk
  7. Malunkwi

    Gym ya Mazoezi maeneo ya Kibamba Dsm

    Salaam wadau, Kwa wale wadau wa mazoezi naomba kufahamu Kama kuna mtu anajua Gym (Fitness Center) iliyopo maeneo ya Kibamba Dsm, kwa yeyote mwenye kujua ilipo naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kufika tafadhali. Natanguliza shukrani
  8. Malunkwi

    Naomba kujua schedule za mishahara kwa watumish wa umma

    Upo Taasisi gani Mkuu? Maana hata taasisi nazo hazilingani
  9. Malunkwi

    Naomba kujua schedule za mishahara kwa watumish wa umma

    Ni kweli ila yeye ameuliza specifically kwa Wahasibu
  10. Malunkwi

    Naomba kujua schedule za mishahara kwa watumish wa umma

    Graduate anaanza na TGSD1 ambayo ni around Tshs 750,000/=
  11. Malunkwi

    Naomba kujua schedule za mishahara kwa watumish wa umma

    Inategemea na Taasisi unayofanya kazi, Mfano, Mshahara wa Mhasibu anayefanya kazi Halmashauri si sawa na yule anayefanya kazi TANAPA japo wote ni watumishi wa Umma na wana Degree
Back
Top Bottom