Search results

  1. Tamama

    Ulishawahi kuwa katika uhusiano na mwanaume mwenye Gubu

    Always yeye yupo right Mkipanga kuonana akichelewa yeye kufika ni sawa ukichelewa wewe ananuna Anakuudhi yeye na bado ananuna yeye Anachokitaka ndio kifanyike/ usipofata ushauri wake ni kwamba una dharau kukasirika katikati ya maongezi ya furaha ni jambo la kawaida ( utani afanye yeye sio...
  2. Tamama

    Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

    Mbona hata me ni wangu jaman Putin ndio kaamua kutufanyia hivi
  3. Tamama

    Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

    Nitumie cover nzuri za samsung za note 5 kwa no 0773155991
  4. Tamama

    Adha za usafiri UDART/BRT zitaisha lini?

    Yani Mungu asaidie me nasemaga kama sitopata TB kwenye haya ma mwendokas sipati tena
  5. Tamama

    Umepita hapa?

    Ahsante mama
  6. Tamama

    Nao pia wana maarifa..

    Aisee
  7. Tamama

    Nimemeza Malafin 'SP' ijumaa iliyopita,je Leo naweza kunywa pombe?

    dah kweli kiu ya beer kitu kingine, nakuelewa mkuu
  8. Tamama

    Simu za Xiaomi

    Hapo nafkiri kuna kamtihani kidogo, kipindi me naitumia madukan hazikuwepo nakumbuka nilihangaika sana kupata cover mpya, plus screen protector ikawa ya kugushi, sijajua kwa sasa me yangu ilikujaga ibiwa kwenye dala2
Back
Top Bottom