Search results

  1. N

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Mt 11:25-26 SUV Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
  2. N

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Bahati mbaya fahamu zao zilikuwa zimefungwa.
  3. N

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Ndio inavyoonekana, naona walikuwa wanaleta watu wa upande wa gizani tu i.e. Waganga.
  4. N

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    TD Jakes huyu huyu au mwingine, Mh! Share hiyo link ambayo TD Jakes ameunga mkono ushoga
  5. N

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Linaitwaje hilo kanisa? Kama ni Winners Chapel, pale nimeshaenda kusari mara kadhaa na sikuwahi tozwa hela.
  6. N

    UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

    Kacheki Zidane vs Brazil WC 98 & 2006 ndio utamtambua huyo Genius alikuwa nani...
  7. N

    UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

    Yaaani Barca wamemuuza Dinho ili Messi asijeharibiwa, lakini unaona Dinho ni bora zaidi ya Messi!!! Kwa maelezo yako hapo, inaonyesha Barca walijua Messi is something else, ndio mana wakakubali kumuuza Dinho
  8. N

    Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

    Ni kweli kizazi cha Ronaldo de Lima na Zidane kilikuwa na wachezaji bora sana ukifananisha na kipindi hiki. lakini uwezo wa Messi na CR7 ni wa hali ya juu sana na naamini wangereta ushindani wa hali ya juu hata wangekuwepi kipindi cha wakina Ronaldo de Lima
  9. N

    Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

    sifa zote hizo, na hawakuwahi hata kwenda kwenye mashindano ya mataifa ya Afrika.
  10. N

    Video: Hasira za Rais Magufuli kwa "watu wazembe"

    Nimecheka sana baada ya kusikiliza hiyo clip, pengine mkuu hakujua kama atasikika. hahaha
  11. N

    Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Hata genius huwa anasoma, na pengine huwa anasoma zaidi. Sasa wewe haujisomei hata siku moja na ulikuwa unakuwa wa kwanza kwenye mitihani..mh!!
  12. N

    Boarding Schools 1970s-2000: Kambi za watu katili, wanaopenda masomo, mateso, ukakamavu, walokole na wazinzi

    Ni kweli kwamba zilipendwa, lakini dhumuni la mtoa mada ni kukumbushana maisha ya shule yalivyokuwa miaka hiyo.
  13. N

    Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    Mtambuzi - Namkubali sana huyu mtu, hivi bado yupo humu? The Bold
  14. N

    Madhara ya kunywa maji ya moto

    maji ya moto kabisa kama ya chai yale, yanatatizo loloto ukinywa?
Back
Top Bottom