Search results

  1. L

    Who really killed Prof. Mwaikusa?

    MIAKA zaidi ya miwili sasa tangu Profesa Juan Mwaikusa auawe katika mazingira ya kutatanisha nyumbani kwake eneo la Salasala, Dar es Salaam, si familia yake wala umma wenye kuelewa kinachoendelea, wote wako gizani kuhusu wauaji wa gwiji huyo wa sheria. Ndugu kwa upande wao, hususan mke wake...
  2. L

    Chanzo cha vurugu za zanzibar chaanikwa na mkuu mmoja serikalini!!!

    UKWELI KUHUSU UTEKWAJI WA SHEIKH FARID - ZIMEPATIKANA KUTOKA KWA MNENE MMOJA SERIKALINI Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania wanahusika moja kwa moja kwenye machafuko ya Zanzibar kuanzia yale ya kwenye...
  3. L

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    UKWELI KUHUSU UTEKWAJI WA SHEIKH FARID - ZIMEPATIKANA KUTOKA KWA MNENE MMOJA SERIKALINI Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania wanahusika moja kwa moja kwenye machafuko ya Zanzibar kuanzia yale ya kwenye...
  4. L

    WAKILI WA PONDA - Brother Juma Nassoro AWAUSIA WAISLAM

    1 Timothy 2:5 hapa Bwana Yesu anajinadi kwamba yeye ni mtu.
  5. L

    WAKILI WA PONDA - Brother Juma Nassoro AWAUSIA WAISLAM

    Nimewasikiliza waislam mara nyingi. Kwa muislam haruhusiwi kunyamazia maneno eti kwa sababu yanapingana na mitazamo ya dini nyingine. Kwani kwenye ukristo lipo hili? Tuseme ukweli kuwa ingawa wapo waislam wanaoishi kinyume na uislam unavyotaka lakini wenzetu wametuzidi katika kufuata maandiko...
  6. L

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Kweli nchi hii ina mambo!!! Hivi Mzee Mtei ni Mzanzibar? Maana haya madai yake yalitakiwa yaletwe na wakristu wa Zanzibar kwamba hawakutokea wa kutosha kwenye tume kwa upande wao, sasa inakuwaje yeye wa huku bara ndiye anayelalamika!!! Kwani huku bara waislam ni robo ya wakristu? Mbona idadi yao...
  7. L

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    Ni ngumu mno kujua aliye best na worst kama tunategemea habari za magazeti yanavyoandika na mahubiri tuliyoyapata nyumba za ibada hasa kipindi cha uchaguzi. Kama tutakuwa hatuna "Mental slavery" basi naweza kuwapanga hivi, huku nikiwa na sababu za msingi za kufanya hivyo. Nikianza na Mbovu...
  8. L

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Kwa kawaida mtu anapofanya kosa kisha akakiri baada ya kuulizwa, kuna dalili ya kwamba ataacha. Ila ukikuta hataki kukiri na anakanusha na kusema uongo, basi kuna hatihati kuwa hataacha. Tangu kabla ya uchaguzi, wakati wa uchaguzi na hata baada ya uchaguzi matukio ni mengi mno ambayo hayahitaji...
  9. L

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC) MPANGO WA KUHAMASISHA HUDUMA YA KIUCHUNGAJI KATIKA JAMII KUELEKIA UCHAGUZI MKUU 2010 KWA MAASKOFU, MAPADRI NA WACHUNGAJI TU. IDARA YAKUCHUNGAJI TUME YA HAKINA AMANI TEC MPANGO WA KUHAMIASISHA HUDUMA...
  10. L

    Bakwata yataka ustahimilivu viongozi wa dini

    Unajua kuna vyombo vingi kwa waislam. BAKWATA ni kimoja na vigine ambavyo viko kwenye level moja na BAKWATA ni BARAZA KUU LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM. Sasa kwa maelezo ya waislam wanaona kama BAKWATA haipo kwa ajili yao kwani wanasema iliundwa na NYERERE baada ya kuivunja EAST AFRICAN...
Back
Top Bottom