Search results

  1. G

    Nauza decorder

    Weka na bei zake tafadhali!
  2. G

    Hii Sheria Imeanza Kufanya Kazi Tanzania?

    Hujatoa jibu kaka! Swali ni je, sheria imeanza kufanya kazi au bado? Wewe ni mwalimu kaka Odhiambo?
  3. G

    Hii Sheria Imeanza Kufanya Kazi Tanzania?

    Habari wadau, nilisikia bunge limepitisha mswada wa kuzuia wasiosomea ualimu kufundisha! (Yaani kama hujasomea ualimu huruhusiwi kufundisha). Lengo likiwa ni kuboresha sekta ya elimu. Je, sheria hii imeshaanza kufanya kazi? Kama bado, ni lini itaanza kufanya kazi rasmi? Ahsanteni!
  4. G

    Kwa Unayempenda, unayemjali na Kumthamini Mwanao!!

    Karibu wewe unayejali elimu ya mwanao! Karibu tukuhudumie! Karibu upate elimu bora! Tunatuma "Daily Progress Update" kukujulisha maendeleo ya mwanao kila wakati afanyapo mtihani wetu. Hii inakupa nafasi ya kujua mwanao anafanya nini hata kama upo mbali naye! Karibuni nyote! Ahsante.
  5. G

    Kwa Unayempenda, unayemjali na Kumthamini Mwanao!!

    Karibu Mheshimiwa! Karibu tukuhudumie!
  6. G

    Kwa Unayempenda, unayemjali na Kumthamini Mwanao!!

    Mitihani Online tunakuletea huduma ya masomo, mazoezi na mitihani online kwa mwanao aliye darasa la nne, tano, sita na saba mlangoni kwako!!. Huna haja ya kusafiri kwenda mbali, pata huduma bora popote na wakati wowote 24/7!! Tumeandaa mitihani mingi standard kwa ajili ya mwanao. Mwanao...
  7. G

    Nimekuta mafuta ya KY na babycare kwenye mkoba wa mchumba wangu

    Pole sana hata hivyo usichukue maamuzi ya haraka, jaribu kukaa naye na umuulize juu ya hilo pengine si yake au....! Muulize kwa hekima!
  8. G

    Gharama za ku'publish' kitabu!

    Habari, Tafadhali, kwa anayejua gharama za ku'publish' kitabu chenye page 500 tafadhali naomba anijuze! Mungu awabariki sana. NB: Ni kitabu cha somo la Hisabati kwa shule za primary.
  9. G

    Naomba kufahamu kuhusu mitihani ya CPA Tanzania

    Ahsanteni sana kwa maelezo yenu.
  10. G

    Naomba kufahamu kuhusu mitihani ya CPA Tanzania

    Habarini wadau! Naomba msaada wa kujuzwa taratibu za kusoma CPA nchini Tanzania, upatikanaji wa review classes na muda wa masomo, na makisio ya gharama zake mpaka kuhitimu. Nitashukuru sana wapendwa. Mbarikiwe!
  11. G

    Ma'professor' walionaswa na sakata la escrow wavuliwe daraja hilo la elimu

    Habari wapendwa!, mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea lakini kwa mtazamo wangu napendekeza waheshimiwa ma'professor' walionaswa na sakata la escrow hivi karibuni wavuliwe daraja hilo la elimu!!! Binafsi nafikiri ni aibu kubwa kwa wasomi kama wao, waliotegemewa kutumia elimu waliyoipata kwa...
  12. G

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Nilimchukia sana alipopata kashfa ya ufisadi mwaka ule, ufisadi uliopelekea ajiuzulu. Baada ya kumfuatilia sana nimegundua kuwa Lowasa ndiye mtu sahihi wa kumpa kura yangu ya Urais mwaka 2015.
  13. G

    Swali la x-mass

    Acha uoungo! kwa taarifa yako wakristo wanafundishwa kuwa Mungu ni mmoja, tena siyo Athuman yaani hana upendeleo kama tulivyo wanadamu! kwa statement hii ni maana HAWEZI KUPENDELEA KUMUUMBA MZUNGU NA AKILI NYINGI ZAIDI YA MWEUSI! nadhani hayo ni mawazo yako mwenyewe! Ni wewe ndiyo unawaza hivyo...
  14. G

    Kutafuta mke mtandaoni...

    Ameni!
  15. G

    Kutafuta mke mtandaoni...

    Limekuwa jambo la kawaida sasa kwa vijana kujitafutia wake kupitia mitandao ya kijamii. Inawezekana wapo wanaobahatika kupata wake wema lakini binafsi nadhani si jambo jema sana. Asilimia kubwa ya wanaotafuta wake kupitia mitandao huishia kudumbukia katika matatizo lukuki na hivyo hujuta kwanini...
  16. G

    Mwalimu wa English na History [Diploma]

    Nadhani wewe umejikwaa zaidi yake!!! "Your findind or your looking for, hapo umejikwaa watakuona upo shake hata somo lenyewe ulilosomea" Nadhani ulitaka kusema "you are finding or you are looking for". Hata hivyo, hakuna kuchekana, hii ni Tanzania. Kama tunakosea mpaka katika Kiswahili...
  17. G

    Matokeo ya Mtihani wa Taifa Drs la Saba 2013, Kumi bora.

    Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Ahsanteni.
  18. G

    Mshahara Wa Mwalimu (Maths, English Medium Primary School).

    Habari wapendwa. poleni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri. Rafiki yangu amepata nafasi ya kufundisha somo la mathematics katika shule moja kubwa ya english medium (primary level) iliyopo jijini Dar es salaam. Tatizo linalomsumbua ni kiwango cha mshahara. Wamemwambia watamlipa kiasi cha...
  19. G

    Gharama za Kuanzisha Kituo Cha Television!

    Habari wadau! Nina mpango wa kuanzisha kituo cha television (entertainment) hapa nchini lakini sijui natakiwa niwe na mtaji kiasi gani.Tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipatia makisio ya juu ya gharama zote za kuanzisha kituo cha television amwage. Naomba kuwakilisha. Ahsanteni.
  20. G

    Tambwe Hizza: Kikwete ni bora kuliko Nyerere!

    ...bora kwa mkeo na binti yako! Hivi hawa watu vipi? Watanzania si vipofu ati, tunaona na wala hatuhitaji mtu kutuchagulia mtu bora. Nyerere si Mungu lakini angalau hakufuga mafisadi! Tunaomba akawaambie mkewe na binti yake maneno asitulete uozo wake hapa!
Back
Top Bottom