Search results

  1. B

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    Amefanya jambo jema sanaaaa huyu mtu kwa kweli
  2. B

    Rais Magufuli mteue Robert Nsiyantemi awe mkuu wa mkoa wa Mwanza

    Kikabila zaidi Awamu hii tutakoma
  3. B

    Tetesi: Lowassa nchini Kenya tena

    Anahudhuria kama mtu mhimu sana Africa Mashariki, Pia ni mshindi wa uchaguzi mkuu ulopita ndiyo maana majirani zetu wanamtambua Viva chama kipya cha kenya, Usishangae ya Kenya hujawahi sikia chama kinaitwa CCJ kiliwahi kuanzishwa na wanachama nguli wa CCM.
  4. B

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ kwa kufanya usafi

    Wanajeshi wetu wamekosea sana kama kweli hawapo mtaani
  5. B

    Unafiki wa baadhi yetu baada ya majangili kumuua kapteni wa chopa mzungu

    Hii serikali yetu iwe serious kwa kila mauaji yanayo fanyika si haya tu Aliuliwa kamanda Mawazo mtanzania aliyeipenda nchi yake siku wahi kusikia hata salaamu za rambirambi toka nyumba nyeupe naomba tuache unafiki. R. I P kamanda Mawazo
  6. B

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Yaani kwa mwanza hii siku itakuwa ni mafuriko mie nipo hapa mjini ila nimepokea order ya kupokea ndugu zangu wanne wanataka kuja kumuona tu Rais kabla ya kuapishwa na hawajaniomba hata nauli wenyewe wamesema tu wanakuja kulala kwangu tu baada ya mkutano then kesho yake wanarudi.
  7. B

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    GO gooooo gooooooooooooooooooo Eddo
  8. B

    Jipatie tishet yako ya UKAWA

    weka namba ya simu
  9. B

    Magufuri awasalimia wana Kahama na kawaahidi Mkoa

    ataelekeaje dar wakati ndege alokuja nayo ya Rais bado ipo ime park mwanza airport?
  10. B

    John Magale Shibuda: Kilio cha samaki

    Ni msaliti kabisa huyu Shibuda wala tusidanganyane NI NANI ALIYE KUWA AKITOA VIJEMBE PALE BUNGENI NA KWENDA KUFUNDA WATU WA CCM, Hicho kikombe hawezi kikwepa Shibuda!
  11. B

    Zitto awatesa CHADEMA Mkoani Geita, Watengeneza propaganda za kumkwamisha

    Kifupi mimi nilikuwa eneo la tukio tuambie kama mlifunga mkutano na mlisindikizwa na wananchi wakiwa wanataja neno gani? Jamani kubalini mlizomewa.
  12. B

    Uteuzi wa naibu katibu mkuu CCM Bara: Mgogoro wa waraka na sheria ya utumishi wa Umma

    Nimesikia hata MNEC wa wilaya ya Magu kupitia CCM ni mtumishi wa serikali ni Engineer na ndiye manager wa TANROADS wa mkoa wa Mwanza maarufu kama Eng.Kadashi ndiyo maana hatuendelei.
  13. B

    Kwa taarifa yako ewe mtumishi na mdau wa pensheni-PSPF inakufa,iepuke

    Afadhali huyo wa mwaka jana, mimi nina mama yangu mzazi alistaafu mwaka 2007 mpaka leo hajapata mafao yake.
  14. B

    Wenje kutua Bukoba kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye daftari la wapigakura

    Yupo na Yupo ON kwa ajiri ya wa Tz wenye maisha na hali duni leo yupo Kyerwa kwa ajiri ya kuwa kumbusha watoto wa maskini wenzie wajiandikishe ili waweze kujinasua kutoka kwenye hii mikono isiyo salama ya ma ccm. Ki ukweli hata mm naumia kumkosa Wenje Bungeni ila kazi alopewa na chama ya...
  15. B

    Yaliyojiri Bungeni - 15 Mei 2015

    Wa Kimataifa hii bank imeanza lini na je washasambaa nchi nzima au bado mm nipo Mwanza nani Mkulima
  16. B

    ACT - Wazalendo wanatumia milioni 3.6 kwa ziara moja, CHADEMA mnatumia kiasi gani?

    Kinachotushangaza sisi mtu una siku 5 tu ushajitambulisha na kwa wafadhili ndg ww ni Nyokaaaa!!!!
  17. B

    Kiukweli, Zitto ndiye aliyeinyanyua CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani

    Hana jipya huyo na kwa sasa atapotea kabisa kisiasa sasa hivi magamba wana mtumia vizuri sana Pole zake.
  18. B

    CHADEMA yaendelea kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Tunaomba namba hasa mimi wa Mwanza ntavipata wapi nikanunue vya ukoo mzima kabisa hata na vya kukodisha, Ili tuchangie chama chetu makini kwa watoto wetu na wajukuu zetu. Go go go goooo CDM.
  19. B

    Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Hivi Magesa umeenda ACT mbaya wako ni CDM au ni nn kikubwa fanyeni siasa na hao ni wasaliti na wewe tangu ukiwa DIT hujawahi kuwa msaliti sasa haya maisha uloyachagua ni ngumu sana but huna budi kuyaoga maana ushaamua ila kwa taarifa za haraka nasikia vijana mnafata pesa huko wala hakuna kingine...
Back
Top Bottom