Search results

  1. D

    Kampuni ya ACACIA yaipa serikali notisi ya kwenda mahakamani

    I do believe that kama nchi tunaweza maliza hili suala in a win win manner. ACACIA wanachofanya ni kueleza nini kinachoendelea katika hili sakata kuwapa imani wanahisa, hawajasema suala la makinikia kwenye press release yao na pia Ngosha hakusema shughuli za migodi ya ACACIA zisimame. I hope...
  2. D

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Nadhani ni tabia tu ashki za ghafla walizonazo wanaume na siyo kutotosheka
  3. D

    Kutoka Bungeni: Wabunge wapinga ongezeko la kodi ya uchakavu wa magari

    Mimi ki ukweli naunga mkono uchakavu miaka 8 lakini hiyo kodi yake ipunguzwe kidogo
  4. D

    Sign 100 za Mnyika

    Bado sielewi nini kinaendelea na hili suala la mafao, kwa upande wangu mazingira ya ajira TZ si muafaka kwa kutokuwa na fao la kujitoa japo wapo wanosisitiza tuige chi nyingine zinafanyaje naona pia ni bora kuangalia na hali halisi katika hizo nchi.
  5. D

    Ngeleja na Malima wawajibishwe

    jamani hii nchi shamba la bibi natamani na mimi ningekuwa mwekezaji wa kigeni (najua lugha tofauti na inayoeleweka na wapenda ufisadi). ????
  6. D

    Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

    Eti wanadai hiyo ni gharama ya ukaguzi you pay in advance na kutokana kwamba wengi walikuwa hawalipii stika za faya wanadhani TRA ndiyo wanaweza kukusanya. Abdulrahim acha majibu yenye mtazamo hasi na kukatisha tamaa, hata kwa kutumia kiasi kidogo cha pesa mtu anaweza kumiliki gari inayoendana...
  7. D

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    Yaani kila kona nchi imejaa usanii katika maana ya ubabaishaji na ujanjaujanja tu, hivi kuna dhamira ya dhati kweli katika kuhakikisha nchi hii na shirika la umeme Tanesco vinafanya kazi kwa ufanisi??
  8. D

    Hukumu ambayo haijawahi kutokea

    Sina ueledi saaana katika taaluma ya sheria, lakini nakuunga mkono kwamba huyu jaji ni kilaza na kama siyo kilaza basi anatengeneza mazingira ya kupindisha sheria. Hii ndiyo aina ya majaji tulionao na tunategemea haki itendeke. Katzi bado tunayo inabidi kupambana bila kukoma wala kuchoka.
  9. D

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Kimsingi CV ya Dr. Mgimwa ni katika masuala ya fedha ni nzuri, ila naungana na Mkweche kwamba kwa aina ya siasa za nchi yetu wasomi wamekuwa hawafanyi vizuri maana wao hupenda kufanya mambo kwa kuzingatia ueledi lakini mfumo uliopo unataka siasa 90% Ueledi 10%. Changamoto nyingine kwa Dr...
  10. D

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Vyovyote itakavyokuwa ukweli ni kwamba nguvu ya UMMA ni nguvu ya MUNGU binadamu yoyote aliyezaliwa na mwanamke hawezi pingana nayo. CDM watalichukua tena jimbo la Arusha mjini.
  11. D

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Aah sasa hii imezidi kama hii ni kweli basi CCM = Chuo Cha Matusi ( kama alivyoitamka mara kwa mara CCM woyeeeee) na Lusinde ni moja ya wanafunzi waliofany vizuri katika somo hilo. Lakini embu tutafakari kwa kina huyu ni mbunge anawakilisha wananchi wa mtera hivi jamii yake inategemea chochote...
  12. D

    CCM waua na kumvunja mguu kada wa CHADEMA Mwanza

    Hii sasa mbaya hata kama ni kutafuta madaraka si hivi jamani. Hivi media na vyombo vya dola mpo wapi jamani onesheni haya mavitu watu waone uozo wa wanaowaongoza, they are no longer leaders but monsters ready to kill for power.
  13. D

    TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

    Tatizo fitna tu zimejaa pale ueledi maigizo tuu. Lakini ni muhimu tujiulize hivi hawa jamaa si wanapata ruzuku? mkataba na Star times unawasaidia nini? mbona tunaonaga matangazo kama TV nyingine sasa hawa jamaa pesa wanapeleka wapi au nao wanatoa ruzuku serikalini/chamani???? Embu tujadili hili...
  14. D

    Hat ya ajira

    Kama ni kweli sasa huu utata ina maana nchi imefulia namna hii? Haya sasa sijui tunaelekea wapi wandugu nadhani huu ni wakati wa kufanya mabadiliko makubwa kutokana na uamuzi mgumu.
  15. D

    Nsff tendeni haki

    Haa mie nilidhani uozo wa nssf ninkwenye kutoa huduma tu kumbe uozo unaanzia kwenye mchakato wa namna watoa huduma wanavyopatikana??? Kwni kuna tatizo gani hao watu wanaopigiwa pande kufanya usail hatua zote kama wengine, kama wana uwezo watapata tu kazi au ni VIHIYO???
  16. D

    Meli ya mizigo yazama Tanga

    Nahisi sasa kila kitu kimepoteza mwelekeo kuanzia serikali baadhi ya taasisi zake na hadi vyombo vya usafiri, vyombo vya usafiri vya majini vinazama, barabarani ajali kibao, ndege huko Mbeya imeanguka waswasi wang nI KWAMBA SERIKALI NAYO PIA IKO NJIANI KUPATA AJALI MBAYA aidha kuzama, kuanguka...
  17. D

    Sambusa Zapigwa Marufuku Somalia

    Sasa naanza kuwa na wasi wasi na hizi sharia,
  18. D

    Kutoka magazetini leo sarakasi za bungeni zaendelea!

    Nakubali ya kwamba bungeni kuna tatizo na nidhamu ninashuka, lakini kinachoonekana hapa ni kile ambacho kwa kiingereza wanaita the use of third dimension of power. Spika, Naibu na Mwenyekiti indirectly wanalazimisha wabunge hasa wa upande wa ushindani kuona hawatendewi haki.
Back
Top Bottom