Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa hahahahaha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!
Kaka umesahau issue ya Mchungaji Mtikila na RA ????.Hata miaka miwili haijapita mzee. Halafu ni msikiti gani RA aliwahi kusaidia?? Tutajie japo hata msikiti mmoja tu na kiasi...
Kama ni kuandamana tuandamane kwa hili tukio la G/Mboto
Kuna mtu amenitonya: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka...
Mh. PINDA yupo sahihi kabisa: WATUHUMIWA KARIBU WOTE WA UFISADI NA UBADHIRIFU WA UMMA NI WAUMINI WA KANISA. NA WAMETOA MCHANGO MKUBWA KULIFIKISHA KANISA HAPO LILIPO. NDIO MAANA TUKAONA JINSI WALIVYOWAPOKEA BAADHI YA MAFISADI (EL) KISHUJAA(mou).
Mkakati uliopo sasa ni kujisafisha - au kwa lugha...
Kwani wanapikwa chungu kimoja sasa?
Asante kwa uelewa!
sister Birigita: Hongera kwa kuwa na busara! Ni hazina. Na usiachie Chuki ika - overcome busara yako!
Na maradhi yenyewe ni haya.
Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka...
We kenge kweli: Yaani unaona matukio halafu huna reflection?. Hivi unadhani matukio haya ni ya bahati mbaya?. Hivi unadhani yanayosemwa hayana ukweli?. Au yanawauma kwa sababu sasa mambo hadharani?.
sio nyie mliokuwa mkiomba JK alipukiwe na bomu alipoenda kutembelea eneo la tukio pale gongo la...
Wadau wa JF,
Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni.
Huyu...
Tatizo ni lile jeshi ndani ya jeshi. Ingekuwa Waziri pale na Rais wake ni wenzetu yasingetokea haya. Hivyo Waziri kwa sasa hana sababu ya kujiuzulu ila akae pale na awaeleze watanzania mfumo "K" uliomo ndani ya jeshi. Ni ngumu pia maanake mzizi wake ni mgumu kuung'oa. Serikali ifike mahala itoe...
Ugaidi upo. Tatizo tu ni kuwa waliofanya ugaidi sio magaidi a.k.a waislamu kama terrorist act 2002 inavyosema.
Ugaidi huu ni wa lile Jeshi lililo ndani ya jeshi ambalo Serikali haijatolea ufafanuzi uwepo wake kama waraka wa waislamu ulivysema hapahapa JF.
Huyo ni sehemu ya lile jeshi ndani ya jeshi. Hamkusoma ule waraka wa waislamu uliowekwa humu JF ?
Ni hujuma, hujuma, hujuma! Mwenye macho haambiwi tazama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.