Search results

  1. I

    Je, Prof. Lipumba anaweza kusimama katikati ya mzozo wa kidini?

    Mheshimiwa Prof. Lipumba, kwanza napenda kukupongeza kwa kuwa unaona haja ya kuingilia suala la kamatwa kwa Sheikh Ponda. Ambalo sikuelewi na hoja yako ya kutaka kukutana na viongozi wa Kiislamu na Kikristo ili kuona namna ya kudumisha amani. Kusudi la kukutana na viongozi wa Kikristo ni nini...
  2. I

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Je tunataka rais wa nchi hii awe na majukumu gani? Hapo ndipo tuseme kati ya hao watajwa nani atayamudu? Kukimbilia kuwalinganisha watu wakati hatujawa na mtazamo moja juu ya kile rais ataenda kuteleza si sawa.
  3. I

    Kilio cha baba na kifo cha jumuia

    Hawezi kuniingia akilini kwa baba anayeomboleza tabia za watoto wake hali hachukui hatua. Kuanguka kwa Fredrick Sumaye kule Hanang kulinisaidia kujua kuwa kumbe sio tuhuma bali ni ukweli rushwa ndio mtaji wa wanasiasa wa CCM kufikia malengo. Ukweli huu umetekelezwa tena na jumuiya wa wanawake...
  4. I

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Bablii hebu tulia na upate muda wa kufikiri zaidi, weye mwenyewe watumia JF, kisha wapendekeza ifungwe. Wewe vipi bwana?
  5. I

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Sawa kabisa, huwezi kujibu ujinga kwa ujinga. ikiwa mtoto kukojolea kurani ni dhambi mbaya kwani nini kuchanachana Biblia, kuchoma makanisa, kuahribu mali za kanisa na hata kusababisha uporaji wa mali za kanisa iwe sawa. Mtoto akililia wembe mpe. Kamanda Kova pull up your socks maana umechelewa...
  6. I

    Dk. Slaa: Tutajibu mapigo

    Ni hakika kila mmoja wetu atabisha hata kama tunafikiri kuwa tupo sawa. Ikiwa IQ ya vingozi wa CHADEMA ilikuwa ndogo, nina mashaka kuwa polisi hawakuwa nayo hata hiyo ndogo. Wakati nipo JKT tuliwaambiwa kinachohitajika jeshini ni akili kijiko na nguvu gunia. Je, ndiyo iliyotumika wakati wa...
  7. I

    Tattoo nyingine jamani!Ni balaa tupu

    ni mambo ya kushangaza, kweli dunia in mengi
Back
Top Bottom