Search results

  1. M

    Shukrani

    Hapo kwenye red sijaelewa vizuri???? Anyway pole sana Mungu awafariji nyote mlio na ukiwa wa kuachwa na ndugu zenu!
  2. M

    It position at barick gold mine

    AFRICAN BARRICK GOLD BUZWAGI VACANCIES -GRADUATE GEOLOGIST - IT ADMINISTRATOR LEVEL 1 - METALLURGICAL CLERK - PRODUCTION GEOLOGIST -SECURITY DRIVER SEND YOUR APPLICATIONS TO BUZRECRUITMENT@BARRICK.COM OR BUZWAGI PROJECT P.O.BOX 1101 KAHAMA SHINYANGA SEND YOUR APPLICATIONS BEFORE 31...
  3. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Habari wana JF, bado naendelea na huu mchakato, yeyote mwenye taarifa zinazoweza kunisaidia afanye hivyo.
  4. M

    Gari ndogo ya kukodi

    tunaweza jadiliana
  5. M

    Gari ndogo ya kukodi

    Ninayo Nissan Sunny, sedan, cc=1490 ninaweza jadiliana. Karibu.
  6. M

    frame inapangishwa mikocheni bei nafuu

    Hello selham mambo niaje? Niambie hiyo sehemu inaweza kufaa kwa biashara ya vipodozi?
  7. M

    Limsaada tutani jameni....................befoward japanese car exporters

    Super thinker, ingia kwenye website yao na uchague gari unayoitaka then jaza ile inqury na uisubmit. Watakujibu baada ya muda mfupi na kuanzia hapo mtaanza kunegotiate nao mpaka hapo mtakapo kubaliana CIF value, mkikubaliana watakutumia proforma invoice nawe utawatumia pesa kwa TT na mtaendelea...
  8. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Nimekupata vizuri sana ssambali, labda ungeniambia hiyo ndogo iwe angalau na vipimo gani na sehemu gani unazopendelea ili nikipata inayofanana ndo nikujulishe, vilevile hata mm si lazima iwe kubwa sana lakini hata size ya kati (10ft. x 8ft.) inaweza kunifaa pia. Cha msingi ni kwamba angalau wewe...
  9. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Nashukuru parachichi, next week nitakuwa Dar nitafika maeneo hayo japo vya uchochoroni inawezekana visinifae sana maana si unajua biashara ya vipodozi inafaa sehemu yenye mkusanyiko wa watu, anyway nitafika nionane na hao jamaa.
  10. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Nashukuru sana Bank, nitayafanyia kazi hayo yote ila tu hapo kwenye red sijakuelewa vizuri, nitashukuru kama utanifafanulia zaidi hilo eneo liko wapi?
  11. M

    Limsaada tutani jameni....................befoward japanese car exporters

    Nimeshafanya biashara nao hawa jamaa hawana tatizo, si mm tu lakini pia hapa sehemu ninayofanyia kazi kuna watu kibao wamenunua kampuni hiyo na sijasikia hata mmoja aliyelalamika. Gari inachukua 3 to 4 weeks kufika Bongo kama watatumia meli ya direct bila kuanzia africa ya kusini.
  12. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Dah jamani hata kwenye ujasiliamali kuna ufisadi na ukabila pia, anyway naomba nisiamini katika ukabila cha msingi ninaimani humu kuna wadau wengi wanaoweza kunisaidia kwa ushauri, hata hivyo si lazima iwe Mwenge bali hata sehemu nyingine ilimradi iwe na sifa za kuweka duka la vipodozi!
  13. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Ni kweli natambua kwamba nahitaji kuongea na madalali lakini hapa pia kuna wadau wengi wakiwemo madalali pia wanaoweza kunipa angalau mwongozo wa kufuata, ushauri dhidi ya changamoto za biashara yenyewe pia ni muhimu na unapatikana kwenu wadau! Nashukuru na nazidi kusubiri msaada wenu.
  14. M

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    Ndugu wana - JF nina mpango wa kufungua kijiduka cha VIPODOZI maeneo ya MWENGE, SINZA au sehemu nyingine inayofaa kwa biashara hiyo kulingana na ushauri wenu wadau. Naombeni msaada wenu wa namna ya kupata flemu kwenye maeneo hayo niliyotaja au hata sehemu nyingine ilimradi iwe na mkusanyiko wa...
  15. M

  16. M

    New MEGALLAN GPS Locater for sale only at 100,000/= Each

    Picha haifunguki, anyway i am interested nitakutafuta
  17. M

    New MEGALLAN GPS Locater for sale only at 100,000/= Each

    Please weka specification na picha tucheki fasta!
  18. M

    Mining jobs in saudi Arabia

    Mm ni geologist mwenye uzoefu wa miaka mitatu na zaidi katika resource na uchimbaji je kuna nafas hizo pia?
  19. M

    Kiwanja kinauzwa-kigamboni dege

    Elezea sifa za viwanja vyenyewe na bei zake fafadhari.
  20. M

    Viwanja KIBAHA

    Hapo kwenye red pamepimwa na pako umbali gani kutoka barabarani, je huduma muhimu (maji, umeme barabra) zipo? Kama una kingine chenye sifa kama hizo itafaa pia?
Back
Top Bottom