Kwa maelezo zaidi unaweza pitia
Tujifunze Kilimo Bora kwa Maendeleo Yetu: Kilimo Bora cha Mboga Mboga- Kanuni za Ukuzaji Mboga
Tujifunze Kilimo Bora kwa Maendeleo Yetu: Maelezo ya Msingi Kuhusu Kilimo cha Mboga Mboga - Vegetables
Tujifunze Kilimo Bora kwa Maendeleo Yetu: Kilimo Bora cha...
Utangulizi
Utunzaji wa nguruwe mara nyingi hutegemea aina ya nguruwe, njia na aina ya ufugaji. Kwa mfano nguruwe jike anayefugwa kwa ajili ya kuzaa anahitaji kutunzwa tofauti na wale wanaonenepeshwa kwa ajili ya nyama. Kadhalika nguruwe wanaweza kufugwa ndani ya banda au nje, kutegemea na ukubwa...
Shamba la miti lina matumizi mengi na si wote watasubiri wavune, kuna watakao yauza, watakao yatumia kama bond za kuchukulia mikopo ktk taasisi za fedha n.k
Kwa mujibu wa Wakala wa Mbegu za Miti Tanzania mitiki huvunwa kuanzia miaka 7 - 40,
≈
Asante kwa mchango wako ila siku hizi Mbegu za mitiki zimeboreshwa na miti huweza kuvunwa kuanzia miaka saba (7) na kuendelea, hii ni kwa mujibu wa Wakala wa Mbegu za Miti Tanzania (Tanzania Tree Seed Agency - TTSA)
Kinachomata ni matumizi na ukubwa wa mti
Unachatakiwa kufanya ni kuangalia mti husika unaweza kutoa mbao ngapi km ni mti wa mbao na ukadirie bei yake. Kuna miti huweza kuzidi hata laki 2 au 3
Kuna sehemu watu wananunua hadi miembe kwa zaid ya laki nne kwa muembe mmoja
Size Matters
Kulipa kwa mti kunategemea na matumizi na umri wake. Kwa ujumla mashamba ya miti yanalipa hata km ni mwarobaini.
Pia upandaji wa miti unategemea na sehemu uliyopo na sio ulipaji wake.
Ekari moja ya shamba unaweza kupanda miti mia sita (600) mpaka mia saba (700). Gharama za kununua mashamba au maeneo ya kupandia miti hutegemea na eneo. Kwa sehemu nyingi za vijijini maeneo kwa ekari moja hayazidi laki 5.
Miche ya kununua mfano Mitiki huuzwa kuanzia elfu moja (1000) kwa mche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.