Search results

  1. P

    PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA

    Ama kweli elimu ya Tanzania ya sasa ni very big problem beyond any stretch of imagination! Mleta uzi amejaribu kukosoa dosari ya kimfumo lakini wachangiaji wengi wame-personalize issue kwa kui-confine kwa Kikwete na mkewe wakati kimfumo hili ni tatizo linalopaswa kurekebishwa ili tutakapopata...
  2. P

    AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

    Kwenye taaluma ya sheria hakuna mtu ambaye ni mtaalam wa eneo moja tu. Kunaweza kuwepo mgawanyiko tu wa masuala ya kisheria ya kushughulikia. Sheria ya Katiba ni somo la wanasheria wote kama ilivyo kwa sheria ya jinai, sheria ya ushahidi, sheria ya utawala, sheria ya dhara (tort) na nyingine...
  3. P

    AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

    Kwenye taaluma ya sheria hakuna mtu ambaye ni mtaalam wa eneo moja tu. Kunaweza kuwepo mgawanyiko tu wa masuala ya kisheria ya kushughulikia. Sheria ya Katiba ni somo la wanasheria wote kama ilivyo kwa sheria ya jinai, sheria ya ushahidi, sheria ya utawala, sheria ya dhara (tort) na nyingine...
  4. P

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nyerere alikuwa kiongozi wa watu na alikosea mengi katika jitihada ya kuwatendea mema watu. Viongozi wengi wa kizazi hiki Afrika ni viongozi wa kupigania maslahi yao, ya familia zao, marafiki zao na watu wanaowahusu. Sasa hivi ni nadra sana kumpata kiongozi ambaye kipaumbele chake cha kuutaka...
  5. P

    EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

    aka REAL ACHE (MAUMIVU YA KWELI)= Rostam Edward Andrew Lowassa Aziz CHEnge
  6. P

    Maoni ya Lucy Mayenga (Mb) Kuhusu Bunge lililoahirishwa leo

    Mimi sielewi huku kutafuta umaarufu kukoje,kunaanza lini na umaarufu kwa nani.Vinginevyo huyo dada ndiye anayetafuta umaarufu kwa wale waliojivua makamba, I mean,magamba. Amefanya hivyo kupitia TBC kwa sababu yeye si maarufu. Anashangaza kupakaza mkakati wake wa kutafuta umaarufu kwa watu walio...
  7. P

    Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

    "the whiteman is so clever; he came quietly and peaceably with his religion. We were amused with his foolishness and allowed him to stay.now he has won our brothers and the clan can no longer act as one. He has put a knife on things that held us together and now we have fallen apart" - chinua...
  8. P

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    RA kwa kweli ameitesa nchi hii. EPA yumo kupitia Kagoda alipopora mabilioni yetu.Eti mjumbe wa CC ya chama tawala lakini anasimamia waziwazi malipo ya ujanja ujanja na ya kifisadi sana ya DOWANS ya mabilioni ya pesa za Watanzania. Hayo ni yale yaliyoibuliwa tu.Mtu kama huyu ni wazi anatutesa...
  9. P

    Kweli Tambwe Hiza kilaza!!!

    Nimesoma maoni mengi sehemu tofauti tofauti kama kwenye mitandao na kwenye magazeti machache kwamba mtu wa propaganda wa CCM,Tambwe Hiza, ni mweupe kabisa kichwani. Nilikuwa sijaamini sana lakini leo nimeamini kwamba huyu bwana ni mweupe kuliko weupe wenyewe kichwani kutokana na maoni...
  10. P

    (Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia

    There is obviously no slight religion insticts in the Mahalu saga. I believe so given nature of evidence against him which shows existence of discrepancy in payment for the building between the real price and the price in issue at court of law.It is apparent that investigation of Mahalu case was...
  11. P

    CHADEMA kimefutwa rasmi

    Leo Aprili mosi ni siku ya Wajinga!
  12. P

    Deudatus Balile Ateuliwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation

    Kama wewe ni mpenda mabadiliko chanya ya kweli, anza Jumatano ijayo kusoma gazeti la Raia Mwema. Lina uchambuzi wa upeo mkubwa wa masuala katika kupigania mabadfiliko chanya kupitia kwa waandishi wenye weledi mkubwa wa fani.Katika misingi ya kimabadiliko chanya naweza nikasema bila kusita sita...
  13. P

    Ya Chanika ndiyo inayoweza kuvuruga amani si maandamano ya CHADEMA

    Nimepata habari za uhakika kabisa leo kwamba watu wenye makazi ya muda mrefu,chini ya uongozi unaotambulika kitaifa toka ngazi ya chini,wenye mashamba ya mazao ya kudumu na ya msimu, wameondolewa hivi karibuni kwa kuharibiwa vibaya mazao yao, kuvunjiwa nyumba zao,kuporwa mali zao na nyumba...
  14. P

    Prof Lipumba alishawahi kupata elective post hapa nchini?

    Kama hana tamaa ya madaraka na ni mtu aliyebobea kwenye taaluma ya Uchumi,kwenye siasa anafanya nini? Mchumi asiye na tamaa ya madaraka kwa nini asiishi kwa taaluma yake badala ya kujidhalilisha kwa kupambana na madongo ya kisiasa ambayo katika kuyakabili wakati mwingine anafanya usomi wake uwe...
  15. P

    Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

    Labda tungetofautisha kidogo. Wizara ya Miundo Mbinu inajihusisha na vitu visivyoweza kutembea vinavyohusu barabara kama hifadhi yake,ubora wake,vitu vilivyochimbiwa permanently kwenye hifadhi ya barabara na kadhalika lakini kwa vitu vinavyoweza kutembea kama magari na kila kinachoweza kuwa na...
  16. P

    Zombe Aishitaki serikali, adai 5.2 Billion!!

    Suala la madai ya fidia kwa Zombe haliwezekani sasa hivi de facto (as a matter of fact) wala de jure (as a matter of law) na kama ameanza taratibu hizo sasa basi mibangi anayovuta imekikoroga vibaya kichwa chake! Suala la kuachiwa huru kwake na wenzake liko kwenye hatua ya rufani Mahakama ya...
  17. P

    JW ‘yawapongeza’ askari waliotoa kipigo kwa raia

    Hilo linabaki kuwa kosa tu. Watu kupigwa enzi hizo na kutodai haki yao,hakufanyi kupigwa kwao kukawa halali.Hiyo ni kinyume cha haki . Jeshi lolote lenye nidhamu hufunzwa kuwalinda raia wake na si kuwashambulia raia hao. As for chanzo cha kupigana huko, mara zote Wanajeshi ndiyo wachokozi kama...
  18. P

    PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

    Kwa yaliyotokea Mwanza,naona kama CHADEMA kwa sasa hivi kina sifa zote za kuwa de facto Chama Tawala kwa sababu:- (1) kina watu makini kwa hoja na mitazamo ya kubadili hali ya wananchi kama chama tawala kinavyopaswa kuwa. (2) kinajali kwa dhati matatizo ya watu na kina hoja madhubuti...
  19. P

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Katika taarifa yake,Baraza la Usalama la Taifa limeongelea vipengele 14,viwili kati ya hivyo ni pongezi kwa JWTZ.Moja, kwa kuokota mabomu yaliyozagaa ambalo ni jukumu lake kwa tukio lililosababishwa na shughuli zake na pili, kuzima moto uliosababishwa na mlipuko wa mabomu yao ambao wasingeuacha...
  20. P

    Who is Benson Bana?

    Na ndiyo maana kuna mahali niliandika "Mpaka hapo sikuona tatizo la shule yake kwa hoja yake" nikizingatia uhuru wa kutoa mawazo.Lakini utakuwa upuuzi kama mtu ataiita rangi nyekundu kuwa bluu na kuachwa bila kusahihishwa eti kwa sababu ana uhuru wa kusema! Alichowalaumu Wabunge wa CHADEMA Dr...
Back
Top Bottom