Search results

  1. A

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Nakumbuka 2000 tulipanga wote guest house moja SINGIDA akataka kuingiza kabinti chumbani kwake mhudumu akadai cheti cha ndoa, akachemka na kuamua kumpangie chumba cha jirani, mhudumu alikuwa ustadh akahamishia ofisi mlangoni kwa yule binti. KAPUYA akatoka kapa
  2. A

    Picha:Obama Azeeka Ghafla baada ya kusomewa abdadili pale alipotamka kuishambulia Syria

    It's not true. Kawaida sisi ni makini na kamwe hatudanganyiki.
  3. A

    asalam aleykum wanajamvi

    Karibu jamvini muzee
  4. A

    Habari waungwana

    Karibu jamvini muzee
  5. A

    Voda Internet

    Tembelea kwenye tovuti yao www.vodacom.co.tz nadhani utapata jibu. Karibu sana.
  6. A

    Ufumbuzi wa tatizo la wanafunzi kunyanyaswa na Makonda wa Daladala

    Mimi ni mmoja kati ya watu wanaokerwa sana na tabia za makonda kunyanyasa wanafunzi hasa wa jinsia ya kike. Kuna wakati fulani nilitembelea KENYA na kushangaa kutoliona tatizo hili. Mwanzoni nilidhani shule zote zina mabasi ya wanafunzi lakini nikagundua kuwa ni chache tu zenye mabasi, ila nauli...
  7. A

    Mishakaki ya Paka

    Naona kuwa Clouds FM walipaswa kumripoti huyu jamaa kwenye vyombo vya sheria. Haiyumkiniki kumuhoji mvunja sheria na kumuacha aendelee kuvunja sheria tena kwa kumuhifadhi jina lake. Tuliopita Manzese jana jioni tuliona kuwa watu wamegoma kabisa kula mishikaki wakihofia kula paka. Hii...
  8. A

    United in Islam but economically asunder......................

    Ukiacha Kikwete mimi hapa namtambua Shehe Alhadi Mussa na Mwanafunzi wake (nyuma yake), ingawa wamevua viatu lakini si wachovu. Naona tatizo kubwa la nchi yetu ni umasikini uliokithiri ambao chimbuko lake ni utawala mbovu. Ni pale tu jamii ya wasomi itakapoacha ajenda za siri zichaguliwapo...
  9. A

    mambo msiyoyajua kuhusu wakristo na waslamu

    Chanzo cha matatizo duniani ni UDINI na wala si DINI. Kwa bahati mbaya mada yako inachochea UDINI, hivyo mimi naiona kuwa ni miongoni mwa matatizo na kero tu kwa jamii. Kama wasomi tungeleta mabadiriko makubwa katika jamii zetu kama tungekuwa tayari kuwa vinara wa kupinga UDINI. Nchi hii ni...
  10. A

    Mu-arobaini wa kukomesha wizi wa mitihani

    Kimsingi ninachopendekeza ni kuanzishwa kwa vitabu vya maswali ambavyo vitatumika kutahini wanafunzi kila mwaka bila kubadirika. Kitakachokuwa kinabadirika ni namba ya maswali yaliyochaguliwa kwa mwaka husika hivyo basi hakutakuwa na upotevu wowote wa karatasi. Kwa mfano ikiwa sylabus yote ya...
  11. A

    Jordan's king sacks Cabinet amid street protests

    AMMAN, Jordan – Jordan's Royal Palace says the king has sacked his government in the wake of street protests and has asked an ex-army general to form a new Cabinet. King Abdullah's move comes after thousands of Jordanians took to the streets — inspired by the regime ouster in Tunisia and the...
  12. A

    Mu-arobaini wa kukomesha wizi wa mitihani

    Nimekuwa nikikerwa sana na tatizo la kuvuja kwa mitihani mashuleni, vyuoni n.k. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria njia mmbadala kukomesha tatizo hili. Nadhani kutumia mfumo ambao nitauitwa "Open Questions System" tunaweza kumaliza tatizo hili kabisa na kulifanya kuwa historia. Mfumo...
  13. A

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Biashara ya mobile services ni matangazo, ubunifu wa kutoa product mpya kila mara pamoja na kumsikiliza mteja - vyote hivi havipatikani TTCL. Hivi karibuni Kampuni ninayofanyia kazi ilipatwa na matatizo ya FIBRE kati ya point A na B ambayo imekodi TTCL. Tuliripoti tatizo TTCL usiku huohuo na...
  14. A

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Nilishawahi kufanya kazi TTCL zaidi ya miaka kumi iliyopita chini ya utawala wa Mapunda. Kwa wakati huo tuliamini kuwa ufumbuzi wa matatizo yetu ulikuwa chini yetu wenyewe. Nimekuwa nikiongea na wafanyakazi wa TTCL wa sasa, wao wanaamini kuwa chimbuko la matatizo ni serikali kupendelea...
  15. A

    Naomba Mnipokee

    I feel honored to request to join you, I believe that together we can be the best. I request that if I do well, help me; and if I do wrong, set me right. Sincere regard for truth shall be loyalty in our debates and disregard for truth shall always be treachery. I believe that the weakest in...
  16. A

    50M per month one of my wish for 2011

    Nakutakia kila la kheri. Inawezekana kabisa, hata hapa TZ kuna watu wanapata zaidi ya hizo tena si kwa ufisadi. Kaza buti KAKA.
  17. A

    Wazee wa kuchapia!

    unatufungisha tu. Kama umetoka, choka.
  18. A

    Wawekezaji wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina ya kampuni zao dawa ni nini?

    Nijuavyo mimi Tigo haijawahi kubadilisha jina yenyewe siku zote inaitwa MIC (T) Ltd. Buzz, Mobitel, Tigo hayo ni majina ya kibiashara tu.
  19. A

    Kwanini Saudi Arabia?

    Sababu zinazowapelekea kukimbilia Saudia ni za kiimani. Nadhani wanatambua makosa yao na kuona hakuna kwingine kwa kukimbilia na kuomba toba isipokuwa kwenye miji mitukufu ya Maka na Madina. Inshallah, Mungu atawasamehe makosa yao.
  20. A

    Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

    Ieleweke kuwa waislamu hatuombi special favour kutoka serikalini wala hatuna mahitaji ya kimwili tofauti na ya Wakristu. Ila tunachotaka sisi kuona nchi hii inaendelea kuwa moja kwa misingi ya mnyonge kupewa haki yake na dhalimu kunyanganywa alichodhulumu na kufikishwa mbele ya sheria. Uislamu...
Back
Top Bottom